Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

Ndio! Hata Mungu Yesu nae si alitandikwa mijeledi na WanyabiπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜
Kuna laana ya Kristo Yeah itakushukia maishani mwako na ukigundua rudi piga goti na utubu.
 
I second you..
 
[emoji38][emoji38][emoji38]JamiiForums is never boring
Nimecheka sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Umecheka nini? Hata mimi jamaa kanichekesha sana. Sijui aliwaza nini kumuita mwenzake Kerubi.
 
Umeiona sura yake ilivyochakazwa. Jamaa wamemgonga kwelikweli. Pole yake kwa kweli.
Ukiangalia mahubiri yake unapata picha halisi kwamba atakuwa na majibu ya shombo sana ndio maana wamemtandika haswa maana kwani ana kesi gani imsababishie kipigo???

Fuatilia hata mahubiri yake anaongea kwa nyodo sana halafu libaya tu ni ebitoke aliyechangamka.
 
Leo ndo nimeamini make up zinawabeba wadada..🀣
 
Kama katiba yetu haiingilii Uhuru wa kuabudu,
Huyu mfalme anateseka mahabusu kwa kipi?

Inchi ina watu wa hovyo sn hii.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Ni wajibu wa serikali kulinda usalama wa raia wake na kuhakikisha ustawi wao, huo ndio msingi wa katiba ya nchi
 
Hapo ndipo ukosefu wa weledi unapoonekana kuna haja gani kumpiga.
 
Huko ni kuingilia UHURU wa kuabudu watu.

Mbona waganga wa kienyeji ambao kwa kiasi kikubwa uharibu Jamii wao awasumbuliwi
 
Kila kitu katiba mpya....yaani upuuzi waliokuwa wanaufanya makerubi hukuuona?

Hivi mnaishi vipi na familia zenu mnapokuwa vinara wa kurndekeza ujinga na Uhuru uliopitiliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…