Nilifikiri unajielewa na kuelewa haki za kila mmoja wetu anapokua suspect na elewa kuwa hakuna sheria inayowaruhusu police kupiga raia au suspect,Kila kitu katiba mpya....yaani upuuzi waliokuwa wanaufanya makerubi hukuuona? Hivi mnaishi vipi na familia zenu mnapokuwa vinara wa kurndekeza ujinga na Uhuru uliopitiliza?
watu waliojifungia ndani ya nyumba yao na kufanya ibada kwa mujibu wa Imani yao ,,Ni wajibu wa serikali kulinda usalama wa raia wake na kuhakikisha ustawi wao, huo ndio msingi wa katiba ya nchi
Unajua baadhi ya hawa mabinti wa kisukuma huwa wana kisirani sana. Anafanyia kisirani cha kijinga dola ataumia.
Hilo ni dhehebu kama yalivyo madhehebu mengine ya kikristo.Unajua baadhi ya hawa mabinti
Unajua baadhi ya hawa mabinti wa kisukuma huwa wana kisirani sana. Anafanyia kisirani cha kijinga dola ataumia.
Wanaomshikilia wawaachie hao wengine halafu abaki yeye peke yake washughulike naye vizuri. Watu wengine machizi halafu wanajidai wakristo na kuanza kuharibu image ya ukristo nchini, hili halikubaliki hata kidogo; wakristo wote kwa umoja wetu tutahakikisha tunalisimamia
Siku saluni zikipigwa marufuku Tanzania tujiandae kuona wanawake wengi tunaowaona warembo tutawashangaaNahisi hapa tumepigwa na kitu kizito quietly two different people
HEBU NIAMBIE NCHI AMBAYO MHALIFU ANABEMBELEZWA HAPIGWI ANANYENYEKEWA NI NCHI GANI YENYE KATIBA KAMA HIYOKatiba mpya ndio utakua mwisho wa haya yote,kipigo na ukatili huu ni wa kinyama na kishenzi regardless what, ushenzi huu kutoka police inaonyesha tunaishi in a police state, ningekua mimi ni hakimu hii kesi I geisha leo kwa kumteua independent Doctor amfanyie uchunguzi, ripoti yake ikionyesha alipigwa ,ushahidi wote dhidi yake utakua batili na atakua huru na uwezo wa kumfungulia mashitaka waziri wa horror affairs, na washenzi wengine humu wanafurahia haya, it's crazy
Kesi zote za mchongo Tu.Zipo kesi muhimu zinazomfanya awe hapo fatilia.
Siku saluni zikipigwa marufuku Tanzania tujiandae kuona wanawake wengi tunaowaona warembo tutawashangaaNahisi hapa tumepigwa na kitu kizito quietly two different people View attachment 2137883
Hilo ni dhehebu kama yalivyo madhehebu mengine ya kikristo.
Kwani madhehebu yote ya kikristo yanafanana itikadi?
Wamuache dada wa watu afanye ibada zake.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Hana akili huyu dada, askari siku ya kwanza wamewafuata kistaarabu wakamdhalilisha hadi kiongozi wa upelelezi wakamshambulia wakajifanya mazombie hadi jamaa akakimbia!!
Si alikataa kukamatwa!! sheria inasemaje? unamuacha? kenge weHii inajustify vipi kupigwa kwake?
Maelezo marefu lakini hujui kitu.watu waliojifungia ndani ya nyumba yao na kufanya ibada kwa mujibu wa Imani yao ,,
Ikapelekea hata askari kuruka uzio kuingia ndani,
Je?walivunja katiba ipi?
Au walihatarisha usalama upi kwa raia ambao sio wa imani hiyo?
Kwani mwanzo waliipovunja kanisa la Kwanza walitumia nguvu hizo kumkamata?
Hivi ikitokea huyo Mungu mtu akienda mahakamani na kuishitaki police kwa uharibifu wa Mali na upotevu wa Mali atakuwa amekosea?
Au sababu mahakama za Tanzania zinaendeshwa na amri za mamlaka za juu za serikali?
Imani ya mtu sio uhalifu wa kupelekea police kuruka ukuta na kuingia ndani kujeruhi waumini.
Wasilazimishe wengine kuamini wanachokiamini wao.
Hapo Tanzania wapo watu wanaabudu ng'ombe na ng'ombe ni Mungu wao,, mbona hawakamatwi?
Wapo wanaoabudu hata uume wa binadamu pia ni Mungu wao mbona hawakamatwi?
Tuache kudhalilisha wengine kwa kujificha kwenye kichaka cha dini.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Tatizo wabongo wanapenda kufwata mkumbo hawachunguzi kujua ukweliHana akili huyu dada, askari siku ya kwanza wamewafuata kistaarabu wakamdhalilisha hadi kiongozi wa upelelezi wakamshambulia wakajifanya mazombie hadi jamaa akakimbia!! kaenda kujopanga kawarudia na bado wakataka kuleta utaahira kama ule ule nini sasa askari wafanye? wakuache??
kwendraaaaa!Haya mambo ni ya kukemea kwa nguvu zote, leo Zumaridi kesho inaweza kuwa wewe au mimi
Roho wa vita aligoma kuwashukia.makerubi walikuwa wapi wakat mfalme anapigwa ??[emoji3]
ππππππwatu wa JamiiForums wamejichokea zao afu kitokee kituko kama cha Zumaridi lazma watu wafurahiUmecheka nini? Hata mimi jamaa kanichekesha sana. Sijui aliwaza nini kumuita mwenzake Kerubi.
Ajabu kuna nyumbu zinaona ni sawa tu na wanashangilia kama mazuzu!Human rights violation