Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

Kila kitu katiba mpya....yaani upuuzi waliokuwa wanaufanya makerubi hukuuona? Hivi mnaishi vipi na familia zenu mnapokuwa vinara wa kurndekeza ujinga na Uhuru uliopitiliza?
Nilifikiri unajielewa na kuelewa haki za kila mmoja wetu anapokua suspect na elewa kuwa hakuna sheria inayowaruhusu police kupiga raia au suspect,

Njoo in box nikusaidie kupata decoder ya dstv yenye Chanel za ID,ujifunze jinsi police wanavyotakiwa kufanya kazi zao kisheria n kihalali and after all nani kakupa mamlaka ya kuhukumu?
 
Ni wajibu wa serikali kulinda usalama wa raia wake na kuhakikisha ustawi wao, huo ndio msingi wa katiba ya nchi
watu waliojifungia ndani ya nyumba yao na kufanya ibada kwa mujibu wa Imani yao ,,
Ikapelekea hata askari kuruka uzio kuingia ndani,
Je?walivunja katiba ipi?

Au walihatarisha usalama upi kwa raia ambao sio wa imani hiyo?
Kwani mwanzo waliipovunja kanisa la Kwanza walitumia nguvu hizo kumkamata?

Hivi ikitokea huyo Mungu mtu akienda mahakamani na kuishitaki police kwa uharibifu wa Mali na upotevu wa Mali atakuwa amekosea?

Au sababu mahakama za Tanzania zinaendeshwa na amri za mamlaka za juu za serikali?

Imani ya mtu sio uhalifu wa kupelekea police kuruka ukuta na kuingia ndani kujeruhi waumini.

Wasilazimishe wengine kuamini wanachokiamini wao.

Hapo Tanzania wapo watu wanaabudu ng'ombe na ng'ombe ni Mungu wao,, mbona hawakamatwi?

Wapo wanaoabudu hata uume wa binadamu pia ni Mungu wao mbona hawakamatwi?

Tuache kudhalilisha wengine kwa kujificha kwenye kichaka cha dini.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Unajua baadhi ya hawa mabinti
Inasikitisha. Kulikuwa hakuna utii bila shuruti?

View attachment 2137677
Unajua baadhi ya hawa mabinti wa kisukuma huwa wana kisirani sana. Anafanyia kisirani cha kijinga dola ataumia.

Wanaomshikilia wawaachie hao wengine halafu abaki yeye peke yake washughulike naye vizuri.

Watu wengine machizi halafu wanajidai wakristo na kuanza kuharibu image ya ukristo nchini, hili halikubaliki hata kidogo; wakristo wote kwa umoja wetu tutahakikisha tunalisimamia
 
Unajua baadhi ya hawa mabinti

Unajua baadhi ya hawa mabinti wa kisukuma huwa wana kisirani sana. Anafanyia kisirani cha kijinga dola ataumia.

Wanaomshikilia wawaachie hao wengine halafu abaki yeye peke yake washughulike naye vizuri. Watu wengine machizi halafu wanajidai wakristo na kuanza kuharibu image ya ukristo nchini, hili halikubaliki hata kidogo; wakristo wote kwa umoja wetu tutahakikisha tunalisimamia
Hilo ni dhehebu kama yalivyo madhehebu mengine ya kikristo.

Kwani madhehebu yote ya kikristo yanafanana itikadi?

Wamuache dada wa watu afanye ibada zake.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Nahisi hapa tumepigwa na kitu kizito quietly two different people
Siku saluni zikipigwa marufuku Tanzania tujiandae kuona wanawake wengi tunaowaona warembo tutawashangaa

Wanaume wakware kwa hizo picha mbili naona mtaelewa kuwa sio kila king'aacho ni dhahabu ukitaka kudhibitisha piga marufuku huyo mwanamke unayemwona anang'aa kama dhahabu asikanyage saloon mwaka kama mzuri kweli utamyona kama mzuri wa makeup unalo
 
Katiba mpya ndio utakua mwisho wa haya yote,kipigo na ukatili huu ni wa kinyama na kishenzi regardless what, ushenzi huu kutoka police inaonyesha tunaishi in a police state, ningekua mimi ni hakimu hii kesi I geisha leo kwa kumteua independent Doctor amfanyie uchunguzi, ripoti yake ikionyesha alipigwa ,ushahidi wote dhidi yake utakua batili na atakua huru na uwezo wa kumfungulia mashitaka waziri wa horror affairs, na washenzi wengine humu wanafurahia haya, it's crazy
HEBU NIAMBIE NCHI AMBAYO MHALIFU ANABEMBELEZWA HAPIGWI ANANYENYEKEWA NI NCHI GANI YENYE KATIBA KAMA HIYO
 
Nahisi hapa tumepigwa na kitu kizito quietly two different people View attachment 2137883
Siku saluni zikipigwa marufuku Tanzania tujiandae kuona wanawake wengi tunaowaona warembo tutawashangaa

Wanaume wakware kwa hizo picha mbili naona mtaelewa kuwa sio kila king'aacho ni dhahabu ukitaka kudhibitisha piga marufuku huyo mwanamke unayemwona anang'aa kama dhahabu asikanyage saloon mwaka kama mzuri kweli utamwona kama mzuri wa makeup unalo
 
Hilo ni dhehebu kama yalivyo madhehebu mengine ya kikristo.
Kwani madhehebu yote ya kikristo yanafanana itikadi?

Wamuache dada wa watu afanye ibada zake.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app

Tafadhali tuheshimiane imani za watu. Mfalme Zumaridi sio mkristo bali ni cult ambayo msingi wake ni yeye kiongozi .

Hivyo, Zumaridi sio dhehebu la kikiristo maana hawaamini katika Yesu Kristo bali wanaamini Yesu Kristo muda wake umepita na Sasa Zumaridi ndio mkombozi wao.

Halafu kitu kingine Zumaridi anajiita mungu ndio ukristo gani huo?. Yani nijiite Allah na kumkana Mtume Muhamad utaniita muislamu?.
 
Ukikaidi amri halali lazima nguvu itumike, na unapo tumia nguvu lazima kuna kuumia au kuumizana.
hayo ndio matokeo ya kukaidi amri halali.

angekuwa mstaarabu huenda yasinge mkuta hayo, lkn kwa matendo yake maovu aliyo kuwa ameyaficha na hakutaka yafahamike ndio maana aliamua kutokuwa mstaarabu na akajaribu kuzui dola isitimizemajukumu yake. .....

lkn huwezi kuzuia dola isifanye kazi yake pale inapo nusa uhalifu au uvunjifu wa sheria....vinginevyo utaumia.
 
Inasikitisha. Kulikuwa hakuna utii bila shuruti?

View attachment 2137677
Hana akili huyu dada, askari siku ya kwanza wamewafuata kistaarabu wakamdhalilisha hadi kiongozi wa upelelezi wakamshambulia wakajifanya mazombie hadi jamaa akakimbia!!

kaenda kujopanga kawarudia na bado wakataka kuleta utaahira kama ule ule nini sasa askari wafanye? wakuache??
 
watu waliojifungia ndani ya nyumba yao na kufanya ibada kwa mujibu wa Imani yao ,,
Ikapelekea hata askari kuruka uzio kuingia ndani,
Je?walivunja katiba ipi?

Au walihatarisha usalama upi kwa raia ambao sio wa imani hiyo?
Kwani mwanzo waliipovunja kanisa la Kwanza walitumia nguvu hizo kumkamata?

Hivi ikitokea huyo Mungu mtu akienda mahakamani na kuishitaki police kwa uharibifu wa Mali na upotevu wa Mali atakuwa amekosea?

Au sababu mahakama za Tanzania zinaendeshwa na amri za mamlaka za juu za serikali?

Imani ya mtu sio uhalifu wa kupelekea police kuruka ukuta na kuingia ndani kujeruhi waumini.

Wasilazimishe wengine kuamini wanachokiamini wao.

Hapo Tanzania wapo watu wanaabudu ng'ombe na ng'ombe ni Mungu wao,, mbona hawakamatwi?

Wapo wanaoabudu hata uume wa binadamu pia ni Mungu wao mbona hawakamatwi?

Tuache kudhalilisha wengine kwa kujificha kwenye kichaka cha dini.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Maelezo marefu lakini hujui kitu.
 
Hana akili huyu dada, askari siku ya kwanza wamewafuata kistaarabu wakamdhalilisha hadi kiongozi wa upelelezi wakamshambulia wakajifanya mazombie hadi jamaa akakimbia!! kaenda kujopanga kawarudia na bado wakataka kuleta utaahira kama ule ule nini sasa askari wafanye? wakuache??
Tatizo wabongo wanapenda kufwata mkumbo hawachunguzi kujua ukweli
 
Back
Top Bottom