Picha: Mjue Abdul Halim Hafidah Ameir, Mtoto wa Rais Samia

Picha: Mjue Abdul Halim Hafidah Ameir, Mtoto wa Rais Samia

Ni mtanzania....raia halali wa Tanzania huru.....

Kijana mwenzetu huyu anakipenda sana taifa lake na hakuna sababu yoyote ya kumchukia kwa sababu ya "nasabu" yake na wazazi wake....

Mtu hachagui WAZAZI....

#Nchi Kwanza!
Mwizi tu kama kama yake Ridhiwan. No more no less. Mbona huo umaarufu wake hatukuusikia wakati wa Magufuli ambaye hakuendekeza familia katika kuibia umma?
 
Back
Top Bottom