Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Thibitisha ubadhirifu wa huyo ndugu Abdul.....Sijui kama unajua unachosema mwanangu. Hatuongelei umaarufu bali uadilifu. Ushawahi kusikia kuwa watoto wa Nyerere au Magufuli ni mabilionea? Hawa ndiyo watu waliojua walichokuwa wakifanya ikulu tofauti na manyang'au weneinge walioingia na kuzitumia ikulu kuibia umma kama hawa unaowatetea. Je wamekutuma, unajikomba kama chawa wengine, au una uhusiano na ushirika nao?
Thibitisha ubilionea wake hapa....
Mjomba mkubwa....si familia ya JPM Wala Nyerere iliyo na hali ya chini kama tuliyonayo raia wengi.....
Do you have personal issues with Abdul?!!