masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Dulla
Nisaidie ela ya sikukuu
Nisaidie ela ya sikukuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kwasababu anagawa hela mpaka zinawapagawisha?Huyu ndiye kaivuruga Chadema nzima, watu hawalali, utulivu hakuna, wanaenda na vinywaji msalani, hawaaminiani wanaogopana kwa ajili ya huyu kijana?
Wengine wamezipokea, waliozikataa wananuniwa na kuitwa 'waropokaji'.Si kwasababu anagawa hela mpaka zinawapagawisha?
Kumbe ndiyo huyu terrorist na mtekaji wa watu wanaomkosa Mama yake.......mwambieni dogo yana mwisho haya.
Ana mahaba makubwa na huyu kiumbe anabubujikwa na machozi ya damuLucas akimwona anabubujikwa na machozi ya furaha.
Aisee nimepitia kwa makini nnaona una hoja usikilizweJe ana udugu na Kikwete au Ridhiwan? Du kuna namna hapa. Sijui kama baba yake alimpima DNA.
Msije kumtaja na Mzee Wassira hapaKinana pia kwa mbaaaali.
Huyu asipochukuliwa na watu wasiojulikan... Itakula kwetu.
Inji ni kitu gani?Naskia huyu ukiwa na problemu zako ukimuona mkononi ukiwa na 40 mil anakuunga na kiongozi yoyote wa inji hii hata mama mkwe utaonana nae
Yaani usimwite kwenye ghala la wizi😅Sio wa kumshirikisha kabisa kwenye madili yako ya udalali.
Hana siri
Kumbe anagonga na mvinyo ?! Naona ka glass mwana kabisa
Dogo ni billioner wa michongo-KO