Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Hicho cheusi kwenye glass ni nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho cheusi kwenye glass ni nini
Kwenu si kwao ?!!Watu hatari kisiasa na kiuchumi, ni Mwiny... Kule Zanzibar, Riziwan... Na Abdul.
Tusipohangaika nao,itakula kwetu soon
Mvinyo hunywewa na binadamu ,la ajabu ni nini hapo ?!!Kumbe anagonga na mvinyo ?! Naona ka glass mwana kabisa
Ni mtanzania....raia halali wa Tanzania huru.....
Kijana mwenzetu huyu analipenda sana taifa lake na hakuna sababu yoyote ya kumchukia kwa sababu ya "nasabu" yake na wazazi wake....
Mtu hachagui WAZAZI....
#Nchi Kwanza!
pepsi colaHicho cheusi kwenye glass ni nini
Yaani huyo dogo ndiyo anayeipelekesha Tanganyika na TAKUKURU wanaufyata kwake. Kweli dogo kiboko ya machogo.
Acha upoyoyo....Raia wa Zanzibar.
Zanzibar ni nchi.
Huyu ndio Mzanzibar anaewasumbua Watanganyika.
Marehemu Tanganyika hafufuki ng'o.....Yaani huyo dogo ndiyo anaipelekesha Tanganyika.View attachment 3184766
Inayozuiwa na imanipepsi cola
Imani inazuia mengi.....na hayo mengi YANATENDWA...YANATENDEKA VYEMA TU!!Inayozuiwa na imani
Naam, imani kimekuwa kichakaImani inazuia mengi.....na hayo mengi YANATENDWA...YANATENDEKA VYEMA TU!!
Wewe ni mzanzibari ?!!Yaani huyo dogo ndiyo anayeipelekesha Tanganyika na TAKUKURU wanaufyata kwake. Kweli dogo kiboko ya machogo.View attachment 3184766
Wala si kichaka...bali binadamu ni kiumbe dhaifu...hubeba ya imani vile AWEZAVYO na asizodolewe kwani kipimo cha uzito wa IMANI anacho mwenyewe MUUMBA....Naam, imani kimekuwa kichaka
Mbna maelezo mengi mkuuMvinyo hunywewa na binadamu ,la ajabu ni nini hapo ?!!
Karibu visungura hapa ubandani kwa mama Lilly!
X-Mass njema aaamin!
Mbna maelezo mengi mkuu
😅😅😅Sio wa kumshirikisha kabisa kwenye madili yako ya udalali.
Hana siri
Kafanana na rizmoko
So what the hell is Zanzibar?Marehemu Tanganyika hafufuki ng'o.....
Alishajiozea kaburini huko....kuiua ulikuwa na uamuzi bora kupitiliza kwa mustakabali wa taifa hili bora afrika......
#Nchi Kwanza!