BRAZA CHOGO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 761
- 1,984
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue kubwa hapo ni mgawo ulivoenda... Mbowe aliwazurumu wengineMbowe ndio amekubali kudanganywa na huyu bwana mdogo? Kweli ndege mjanja ananasa kwenye Tundu bovu
Kazi kweli
Nyanza hii ya wahindi tangu enzi za Nyerere au nyingine?Usifananishe Nyerere na huyo taka taka mtoto wa Magufuli alikuwa anamiliki Nyanza construction. Unajua ni miradi mingapi walipewa na kujenga chini ya kiwango ? Usituletee Umbusu humu.
Shehe yote kheri.Wewe ni mzanzibari ?!!
Nikujuze kidogo....
Wazanzibari wanapenda utani khasa wa kutoka Pemba...kule wanakopika "VITENEI"....ba mkubwa umeamua kututania sisi wa huku bara kuwa ni MACHOGO ?!! ha ha ha
N.B Tanganyika ilizikwa na El Commandante baba wa taifa J.K.Nyerere
Na iwe kheri mtumishi wa BWANA!Shehe yote kheri.
KwaniniSitaki nimjue
Alikuwa anawakilisha nchi mkuulile dili lake na mu7 waliishia wapi?
Kwa sababu nitatapikaKwanini
Mbona machozi, Ndo anamshenyenta nini?Lucas akimwona anabubujikwa na machozi ya furaha.
okKwa sababu nitatapika
kama nani?Alikuwa anawakilisha nchi mkuu
mtoto wa raiskama nani?
Kumbe huyu ndo yule mgawa mapesa anayeivuruga chadema