Picha: Mjue Abdul Halim Hafidah Ameir, Mtoto wa Rais Samia

Ni mfupi kwa kimo ila ana uwezo mkubwa wa kufikiri, huyu kijana ana ushawishi na anaogopeka na wakuu wa taasisi wote.

Ukiwa na jambo lako ukafanikiwa kumuona basi simu yake moja na jambo lako litakuwa limepata ufumbuzi.

All in all si mjivuni kama baadhi ya watu wanavyomsema hapa.
 
Ni mfupi kwa kimo ila ana uwezo mkubwa wa kufikiri, huyu kijana ana ushawishi na anaogopeka na wakuu wa taasisi wote.

Ukiwa na jambo lako ukafanikiwa kumuona basi simu yake moja na jambo lako litakuwa limepata ufumbuzi.

All in all si mjivuni kama baadhi ya watu wanavyomsema hapo.
KKKT yahubiri nuru ya Taifa mkesha wa Krismasi🤣🤣
Dini zinatupotosh... Kwa kweli
 
Sijui kama unajua unachosema mwanangu. Hatuongelei umaarufu bali uadilifu. Ushawahi kusikia kuwa watoto wa Nyerere au Magufuli ni mabilionea? Hawa ndiyo watu waliojua walichokuwa wakifanya ikulu tofauti na manyang'au weneinge walioingia na kuzitumia ikulu kuibia umma kama hawa unaowatetea. Je wamekutuma, unajikomba kama chawa wengine, au una uhusiano na ushirika nao?
Usifananishe Nyerere na huyo taka taka mtoto wa Magufuli alikuwa anamiliki Nyanza construction. Unajua ni miradi mingapi walipewa na kujenga chini ya kiwango ? Usituletee Umbusu humu.
 
Thibitisha ubadhirifu wa huyo ndugu Abdul.....

Thibitisha ubilionea wake hapa....

Mjomba mkubwa....si familia ya JPM Wala Nyerere iliyo na hali ya chini kama tuliyonayo raia wengi.....

Do you have personal issues with Abdul?!!
Hivi unajua kuna watoto wa Nyerere bado wanalima musoma
 
Ni mfupi kwa kimo ila ana uwezo mkubwa wa kufikiri, huyu kijana ana ushawishi na anaogopeka na wakuu wa taasisi wote.

Ukiwa na jambo lako ukafanikiwa kumuona basi simu yake moja na jambo lako litakuwa limepata ufumbuzi.

All in all si mjivuni kama baadhi ya watu wanavyomsema hapo.
Kwani ww hujui kwann anaogopeka na anaushawishi??
 
Ni mfupi kwa kimo ila ana uwezo mkubwa wa kufikiri, huyu kijana ana ushawishi na anaogopeka na wakuu wa taasisi wote.

Ukiwa na jambo lako ukafanikiwa kumuona basi simu yake moja na jambo lako litakuwa limepata ufumbuzi.

All in all si mjivuni kama baadhi ya watu wanavyomsema hapo.
Smart na "down to earth" sana....
 
Back
Top Bottom