Picha: Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ngurdoto, Arusha 24 Novemba, 2023.

Hamna mtu kajadili hapa yanayohusu jumuiya, changamoto na mapendekezo ya kutatua hizo changamoto. Watu wametulia kwenye yasio husu huu mkutano. JF bado ina changamoto kubwa kufikia status ya great thinkers members.
 
Mbona mwamba PK kakaa kama member wa kawaida hapo nyuma ya Ruto.
Na Makamba anatafuta nini humo ndani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…