Picha: Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ngurdoto, Arusha 24 Novemba, 2023.

Picha: Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ngurdoto, Arusha 24 Novemba, 2023.

Kwel hapo wengi ni wababe wakivita.
Museveni na Kagame wamewapigia Debe ili waingie kwenye Jumuia.

Lakini hofu yangu silaha zitamiminika sana kwenye mipaka yetu maana Wasomali ni wafanyabiashara wazuri sana wa Silaha ndogo ndogo.
 
Wawe wanafanya mipango na kuitekeleza kiasi kwamba wananchi tuwe tunaona umuhimu wa hiyo jumuia. Siyo kupiga soga zisizo na tija yoyote.
 
Stupid indeed wanakusanyika kujadili wazo gani kama siyo kuharibu pesa za umma iwapo wameshindwa hata kuwaletea WAAFRIKA katiba,sheria,MAJINA ya asili kama vitu halisi vya Kiafrika.?????
 
Mimi nikadhani kikao Cha madiwani wa Arusha kumbe ni Marais?. Very local.
 
Stupid indeed wanakusanyika kujadili wazo gani kama siyo kuharibu pesa za umma iwapo wameshindwa hata kuwaletea WAAFRIKA katiba,sheria,MAJINA ya asili kama vitu halisi vya Kiafrika.?????
Haya yote ni mafisi. Ni kama kuunganisha mabomu. Kila nchi mwanachama ina changamoto luluki ambazo zimetokana na uzembe uliopitiliza wa kuongoza. Halafu eti wanaunganisha uongozi mbovu kwa pamoja! Kagame diktekta na hataki kuachia madaraka. Museveni hivyo hivyo. Samia naye nchi imemshinda na ameikabidhi kwa waarabu. Huyo wa Somalia naye kwake kunawaka moto. Wa Sudan Kusini naye king'ang'anizi mpaka amefikia steji ya mkojo kumtoka hadharani bila kujitambua...
 
Back
Top Bottom