Picha: Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ngurdoto, Arusha 24 Novemba, 2023.

Picha: Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ngurdoto, Arusha 24 Novemba, 2023.

Haya yote ni mafisi. Ni kama kuunganisha mabomu. Kila nchi mwanachama ina changamoto luluki ambazo zimetokana na uzembe uliopitiliza wa kuongoza. Halafu eti wanaunganisha uongozi mbovu kwa pamoja! Kagame diktekta na hataki kuachia madaraka. Museveni hivyo hivyo. Samia naye nchi imemshinda na ameikabidhi kwa waarabu. Huyo wa Somalia naye kwake kunawaka moto. Wa Sudan Kusini naye king'ang'anizi mpaka amefikia steji ya mkojo kumtoka hadharani bila kujitambua...
Kabisa hakuna hata manufaa yoyote zaidi ya maigizo na kutumia pesa bure za wananchi
 
Back
Top Bottom