Picha: Muonekano wa kuvutia wa Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay

Picha: Muonekano wa kuvutia wa Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay

Hivi mnasifia nini hapo?
Hiyo barabara hamuoni kuwa ni sehemu hatari sana hizo kona zenye miteremko hatari iliyokaa upande upande ni salama kiasi gani kwanini hiyo barabara isiungane moja kwa moja litumike daraja hapo
Hizi ni akili za kimaskini sana tukae na records ajali zitakazotokea hapo kwa ujinga wa wachache
Tulia wewe, miteremko hatari maana yake Nini. Tuache madereva tufanye yetu hujatembea wewe.
 
Njoo baada ya miaka miwili uone jinsi itakavyokuwa imechakaa!! Wanajenga chini ya viwango kutokana na usimamizi mbovu! Hizi barabara hazina DRAINAGE system hivyo maji ya mvua yanaharibu barabara kirahisi!!
Injinia mavi kujua kwingiiiii
 
Hivi mnasifia nini hapo?
Hiyo barabara hamuoni kuwa ni sehemu hatari sana hizo kona zenye miteremko hatari iliyokaa upande upande ni salama kiasi gani kwanini hiyo barabara isiungane moja kwa moja litumike daraja hapo
Hizi ni akili za kimaskini sana tukae na records ajali zitakazotokea hapo kwa ujinga wa wachache
Ajali itatokea Kwa uzembe wako kutotii sheria. Kutakuwa na alama za Kona, speed limit na kuzuia kuovateki. Sasa wewe tembea na 120kph na ovateki kwenye hizo Kona uingie bondeni ulaumu mkandarasi!
 
Mnaosema kungekuwa na shortcut mnajua upana na kina cha Hilo bonde? Gharama kiasi gani wameokoa kuzunguka?
Screenshot_20220312-071811~2.png
 
Wameshindwa hata kujenga daraja hapo,,
Cost analysis za daraja yawezekana zimekuwa juu wakaona watumie hizo kona. Kwenye design wanangalia Cost effective, Aesthetics, na comfortability when driving.
Ndiyo maana kwenye kona wanakuwekea mpaka design speed ya pale ili Upite salama huku ukifurahia Mandhari ya pale.
 
Mama sioni akisaini hii mikataba ya barabara, nakumbuka mtangulizi wake ndio alikuwa anaweka sahihi sana.
 
Hivi hizo zinazidi zile za Nyahoro, ukienda Iringa Via Mtera...

Then kuna mikona mingine ukitoka Mbeya kwenda Chunya
 
Kwa hiyo kila kizuri nchii hii, mwanasiasa ndo anapewa sifa?.
Hapo anayestaili sifa ni Mhandisi aliye sanifu geometry design na aliyejenga pia.
Tumefanya wanasiasa wajione wana akili kumbe hakuna
 
Back
Top Bottom