Picha: Muonekano wa kuvutia wa Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay

Picha: Muonekano wa kuvutia wa Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay

Hii kaijenga huyu Bibi yako????


Acha kumpa sifa za kishamba hajafanya lolote la maana labda kuletw machanjo ambayo yameozea ndani
 
Tulia wewe, miteremko hatari maana yake Nini. Tuache madereva tufanye yetu hujatembea wewe.
We ulipotembela ni wapi ndugu Tanzania hii hii au nje ya Tanzania?
Kama ni Tanzania ujinga kama huo kuukuta sehemu nyingine ni kawaida tu
Ila katika nchi zenye watu wenye akili huwezi kuta ujinga huo
 
Cost analysis za daraja yawezekana zimekuwa juu wakaona watumie hizo kona. Kwenye design wanangalia Cost effective, Aesthetics, na comfortability when driving.
Ndiyo maana kwenye kona wanakuwekea mpaka design speed ya pale ili Upite salama huku ukifurahia Mandhari ya pale.
Wataalam mnaojua mambo kwenye nyuzi kama hizi mtokee mtuelimishe na sisi huku kwenye vibanda umiza tuchukue point, unaona bila wewe kutokea wakandarasi wa JF walikuwa washatuchota mara shortcut, mara kona kona hakuna hata facts kama hizi
 
Hivi mnasifia nini hapo?
Hiyo barabara hamuoni kuwa ni sehemu hatari sana hizo kona zenye miteremko hatari iliyokaa upande upande ni salama kiasi gani kwanini hiyo barabara isiungane moja kwa moja litumike daraja hapo
Hizi ni akili za kimaskini sana tukae na records ajali zitakazotokea hapo kwa ujinga wa wachache
Yes hata mi nimeshangaa sana watu wanasifia ujinga!
Hizi kona kona ni hatari kwa vyombo vya usafiri, wamekwepa gharama za kujenga daraja na hizo kona kona wametumia lami badala ya concrite,

kwa mifumo ya magari jinsi ilivyo tairi za nyuma huwa zinajiburuza kwenye kona ( hasa malori)
Hiyo barabara haitachukua muda mrefu kuharibika na ni matumizi mabaya ya fedha za walipakodi.

Mfano mzuri wa kudeal na sehemu zenye kona ni barabara ya arusha to dodom, kama sikosei ilijengwa kwa ufadhili wa IMF. kwenye milima ya kolo pale wamepiga concrete mwanzo mwisho'

ukipita barabara ile utaona jinsi thamani ya pesa ilivyolindwa'

Barabara inayosifiwa hapa itatia hasara kwani itahitaji ukarabati wa mara kwa mara.
 
Gharsma za daraja na gharama za hzo meters za kona

Yawezekana daraja lingecost sana
 
Hii bara bara inakona nyingi sana kutokana na wingi wa milima na makorongo huko, je wangeweka madaraja mangapi?
 
Magufuli did this
Magufuli looted too much public funds. A bridge was supposed to be built as a short cut. But John decided not to, so that he could slash the money intended, instead the road was constructed snaking and going all around for no reason whatsoever despite several alternatives.
 
Back
Top Bottom