Picha: Muonekano wa kuvutia wa Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay

Nilikuwa huko zamani miaka ya 90. Barabara toka mbambabay mpaka mbinga ilikuwa mbovu sana. Mnashuka kwenye gari mnamwlekeza dereva jiwe la kukanyaga !!!. kuna mto Lukuledi unatoka milima ya mbinga kuelekea mashariki ya mbambabay na kuingia ziwz nyasa. Ndio mabonde na mteremko mkali ulisababisha barabara kupinda kukuepa hiyo mito yenye mteremko mkali. Kuna maeneo ukisimama ukingo wa mto huyaoni maji yamekula yapo chini huko.
 
Niliwaza waweke shortcut ila nikahisi huwenda gharama ya daraja itakuwa kubwa sana kuliko kuongeza njia kama ilivyo.

Na nina yakini kwqmba wamwfanya hivi kuepusha cost na muda pia,tusiwaone wajinga hao watu.

Na hilo bonde hatujui kina chake kwa sababu hiyo ni picha tu

IMG-20220312-WA0003.jpg
 
View attachment 2147623
Wewe una akili Sana.
Huwa wanaweka hivyo Sana sana sana kwenye mteremko mkali ili kupunguza kitonga sababu kwenye kona kama hizo huwa lazima mtu apunguze speed kwanza ili apige kona.

Sasa barabara ingenyooka tu na kitongo hicho watu wangekufa Sana..
 
Niliwaza waweke shortcut ila nikahisi huwenda gharama ya daraja itakuwa kubwa sana kuliko kuongeza njia kama ilivyo.

Na nina yakini kwqmba wamwfanya hivi kuepusha cost na muda pia,tusiwaone wajinga hao watu.

Na hilo bonde hatujui kina chake kwa sababu hiyo ni picha tu

View attachment 2147623
Hiyo barabara wamefuatisha ile ile ya vumbi iliyokuwepo, sio kwamba ni. Mpya kilicho kipya hapo ni hiyo Lami.
 
Bila shaka hao walioanzisha ya vumbi waliona athari ya hilo bonde.

So walioweka lami wakaona wafuate busara za walioanzisha hiyo njia ya vumbi.
 
Back
Top Bottom