Picha: Muonekano wa kuvutia wa Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay

hasara ya mali za watu, maisha pamoja na matumizi mabaya ya fedha za umma
Akili ndogo inaangalia kurahisisha mambo tu bila kuangalia madhara yatakayokuja
 
hawa mainjinia empty head hapo ajari inatokea sana
 
Nilichogundua wengi hii barabara hamjaipita ukipita utaelewa kwanini wamefanya hivyo maana hicho ni kipande kidogo cha design hiyo viko vipande zaidi ya 20 kama hivyo unadhani mhandisi atajenga madaraja mangapi .... madaraja huongeza gharama zaidi katika ujenzi wa madaraja.
 
Duh kumbe mbinga ndo milima namna hiyo...dah..Bora nibaki huku huku tu...japo nasikia huko totoz zipo za kutosha na hazinaga maringo
 
Duh kumbe mbinga ndo milima namna hiyo...dah..Bora nibaki huku huku tu...japo nasikia huko totoz zipo za kutosha na hazinaga maringo
Mbinga kuna milima sana kiasi kwamba kuna kaubaridi mno, toka mbinga mpka mbamba bay ni 66km ila mbinga baridi mbamba bay joto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…