Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Slaa anashindwa kusoma kitu kilichoandikwa eti ndio mgombea urais wa ukawa
 
Heri kipigo cha mkoloni kuliko cha ccm.viva ukawa vivaa
 
itv,radio one sauti ni shida hapa mwanza
 

slaa bang na gongo vimeharibu huyu padri
 
Slaa anasema vyama vinavyounda ukawa vimeamua kuunda umoja ili kuingia ikulu kirahisi
 
Wadau mtujuze makao makuu ya hawa wahuni ni wapi?
 
Ni vema kumuacha Mzee wetu Slaa apumzike na kuwaachia vijana nafasi....
 
duh! Eti katiba zitahuishwa ili viongozi watoe kauli zinazofanana? Ni lini hiyo?
 
MoU

Kuwa na sera zinazofanana

kusimamishi wagimbea kwa pamoja

utaratibu wa namna gani vyma vtashirikiana utatolewa na vyama
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…