Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Maalim Seif: Katiba ya Sita na Chenge mahala pake zanzibar ni kwenye pipa la takataka. Anasema koti la muungano lilovaliwa na Tanganyika Limeongezewa urefua

Na bado koti la Chadema litawaingilia mpaka masikioni
 
Mtatufahamisha walichokubaliana mimi naangalia IPL saizi kuna Tottenham Hotspur na Newcastle United, baadae kuna Mancherster United na Chelsea.

Nipo hapa nkinga igunga kila sehemu naona wanaangalia EPL nmejaribu kuuliza kwanini hawaangalii mkutano wa ukawa? Wamenijubu sisi hatuwezi angalia waganga njaa hawana jipyaaa!!!!
 
Nimependa makubaliano yao ila nimesisimuliwa na kufanya nijenge imani kubwa sana nao kwa makubaliano mawili ya mwisho. Hayo yanapinga kuwa wanataka kuvunja muungano kama mimi na kama mimi wanaamini kwenye kuondoa conflicts za muungano ambazo mimi nadhani serikali 3 ni njia pekee.

Natumaini latila kupiga kura ya hapana kwa katiba pendekezwa nitakuwa na address issies zangu kama kuwekaadaraka ya mwisho kwa mwananchi aliepiga kura kumtoa mara moja mpigiwa kura asipowajibika. Pia kupunguza size ya bunge na madaraka ya rais.
 
makamu wa Rais Zanzibar Anasema kura za katiba mpya zilichakachuliwa. Waliopiga kura za siri sita walipiga za hapana, Ukawa za zanzibar 65, kura za hapana za wazi saba, pamoja na ya mwanasheria mkuu 1, Makka haiwezekani kupelekewa karatasi ya kupiga kura!
 
Sasa kunasainiwa ile hati ya makubariano, wenyeviti wanasaini, then makatibu wakuu watasaini....
Ukawaaaaaaaaa.......
 
Tunaomba hayo makubaliano yawekwe hadharani kabisa!
 
Ndebile kutoka Ng'washilalage Kwimba Mwanza nimeshuhudia utilianaji sahihi wa vyama vinavyounda UKAWA hapq jangwani, machozi yamenitoka, nimelia kama mtoto, asanteni makatibu wakuu na wenyeviti…
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…