Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Makamanda tupeni updates kinachoendelea hapo jangwani sisi wengine tupo mbali Karatu.

Heeh, we mkoloni mweusi kamanda wako nani, tokomea na magamba yako.

Safari hii mtakoma, kwenye maeneo ya vijijini kwetu magamba yanabembeleza watu wakachukue form za kugombea uongozi lakini wananzengo wamegoma. Safari hii iko kazi.
 
Watanzania sasa wamejitambua.

Cc. Marire
 
Last edited by a moderator:
Yani vyama vyote ndio wananchi ndio hawa? Kweli hawana mvuto!
 
naona wanachanganyana. Salum Mwaimu alipouliza Ndiyo au Hapana baadhi wamesema Hapana na wengine wamesema Ndiyo
 
duh! Maalim anaendelea kuweweseka. Eti theluthi mbili za Zanzibar haikupatikana

Kama wewe unao uhakika ilipatikana ,ilipatikana vipi,usisahau zipo kura za wizi za mjumbe wa NCCR Mageuzi iliyohesabiwa na mjumbe mmoja marehemu ,tafaaaadhali kuwa mkweli bila fitina na chapaa mfukoni.
 

Vyama havifi Bali binamu aliapa mambo ya kitaifa yanayofanana Lakini yawemo ktk hotuba zao za kila siku
 
Sasa naweza kusema pasi na shaka kwamba leo nimeamini kabisa kwamba ni Mungu wa Mbinguni ndio uweka na kuondoa watawala wa falme za ulimwengu huu.
 
UKAWA:Histori imeandikwa.Huu ni mwanzo wa mshikamano wa kumg'o mkoloni mweusi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…