Alwayz on top
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 706
- 268
Ni jambo jema kuona unauatilia kwa makini mkutano huu wa kihistoria..
endeleeni tu na mipasho yenu. Subirini kipigo cha mbwa mwizi
Nimecheka sana !CCM inaugonjwa wa jambajamba...tehtehtehteh
Wadau kuna hii nyimbo ya ukawa mwenye kuwa nayo naomba antumie...pliiz
Hata mimi nimemsikia ila naamini alikuwa ana maana ya TANU kufa kifo cha mende au alikosea kwenye mwaka. La msingi ni kuwa mzee ana imani kuwa kifo cha CCM kimekaribia sana leo kuliko ilivokuwa jana.Dah! Huyu Makaidi anasema uongo. Anasema kuwa tarehe nane mwezi wa nane kwama sitini na nne alitabiri kuwa ccm itakufa kifo cha mende! Wadau tuelimishane hapa. Kwani ccm imezaliwa mwaka gani?
msamiati mpya mjini.CCM Jamba Jamba.lol
huku ni kuweweseka tu. Hatua hiyo ilishapita
Yani hiyo ni kinyume...Subirni kipigo cha mbwa mwitu...
kwani kila anayefuatilia anakipenda?
Mmeshaolew na CUF sasa hivi ni mwendo wa NKATABA mpaka mulainike
Toa majibu acha kurahisisha mkuu ,twende sawa.
Nyie subirini moto uwawakie...
mnajidanganya sana
moto utakuwakia wewe mwenyewe