Ulitaka watanzania wote 45milioni wawe Jangwani??? Una akili sawasawa? Hata rais alichaguliwa na watu wasiofika milioni 10
Slaa anasema treni tatu zimesomba wazanzibari kutoka znz kuwaleta dar
Ana utani na Dr Slaa
Mimi ni mgeni hapa Dar, nipo kituo cha daladala cha Mbezi mwisho, nielekezeni jinsi ya kufika hapo viwanjani nikashuhudie kwa macho yangu Tanganyika yangu ikirejea! Msaada tafadhari!
Nimeziona huku ubungo zinasomba Watu. Naskia Lipumba, Mbowe na mbatia na makaidi wanapeana hamasa kuwa wasigombane AMA kumbe wanajuana eh! Duh kamanda Hapo ni Maalim Seif ambaye anawachezea Kati wote upinzani na CCM. Huku ana faidi vya ccm kule anafuatilia vya wazungu Kama kutakuwa na maslah POWa!wajinga ndio waliwao huku Anataka na kule anataka . Ha haha hii kweli bongo
"Vijana mnazeeka kabla ya wakati wenu kwa sababu ya BAKORA za CCM "
hayo maneno yamesemwa na lipumba leo jangwani, na mm nakubaliana naye, hasa pale ninapowaona wanaopiga kelele na jezi za kijani ni vijana waliochoka, hawajielewi, wanapiga kelele ili wenzao waneemeke,
TAFAKARI, CHUKUA HATUA
...
....ccm mdembe mdembe kifo cha mende !!!
MwanaDiwani na Ritz, bila shaka mnavisoma na kuvifuatilia hivi viwavi vyenu. ifweero, Lizaboni, Mingoi, Ruttashobolwa, laki si pesa, Weston Songoro, Ghosryder Tunko...vilivyovamia hii mada bila kubanduka! Naambiwa wengi wao ni viongozi waandamizi ndani ya CCM na serikali. Kama ndiyo mipangilio na maelekezo ya CCM, iko kazi! Bila shaka wapo watu viti walivyovikalia vimeshika moto, poleni sana!
Ahsanteni sana televisheni ya Taifa ITV kwa kutuletea matangazo haya moja kwa moja..
Mmeshaolewa na CUF mtaishia kuchezea ndevu za Seif tu.
Mmeshaolewa na CUF mtaishia kuchezea ndevu za Seif tu.
Khaa!! Hivi unajua watu laki tano wakoje? Viroba juani lazima vikuchanganye. Jaribu kupiga hessbu ndogo tu. Tumia ukubwa ws wanja wa taifs kama. AngalizoInakadiriwa watu walihudhuria mkutano huu wa Kihistoria umehudhuriwa na wananchi wapatao 500,000
CCM ni chama cha mafisadi na genge la wahuni maana wanaishi kwa ujanja ujanja ambao ni kinyume na katiba na sheria za nchi hii ,rudi katika mada Mkutano ni Muunganiko wa umoja wa wanachi UKAWA katika kuwaletea wanachi maendeleo na sio propaganga.