Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.


Kigoma kuwa Dubai .....kwi kwi kwi kwi !!!


 
Leo nimemkubali Salum Mwalimu alivyonauwezo mkubwa jukwaani nimemkubali sana hakika Chadema mlipatia sana!!
 
Lipumba anajidhalilisha sana. Prof mzima analeta porojo za kuwahadaa vijana wafanye mazoezi ya viungo ili "kukomboa nchi". Upumbavu sana.....
 
Duh! Ni hatari sana hii... Je, Kinana amealikwa hapo?
 
Safi sana makubaliano ya leo. Jimbo lisikose tena mgombeaji.Hakuna kupita bila kupingwa
 
Lipumba amesema asilimia 60 ya waliohudhuria mkutano wao hawajala. Sasa wamewezaje kunywa viroba kabla hawajala?
 

Ivi JK atahitaji miwani kuona umma huu ulioikataa katiba ya ccm na chama cha Mapinduzi?
 
Nadhani ni mtu mzima wewe! Unapojiingiza kwenye maneno ya kipumbavu sidhani utatofautiana na wapumbavu. Kataa kitu kwa hoja ili uizoeshe akili yako kujenga hoja na kufanya uchambuzi sawia unaotumia akili. Ukizoea kuongea ujinga ujinga utakuwa mjinga kweli, na ukizoea kuongea upumbavu mwingi baadaye na akili yako itayaridhia mazoea.

Lipumba amesema asilimia 60 ya waliohudhuria mkutano wao hawajala. Sasa wamewezaje kunywa viroba kabla hawajala?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…