Na iwe hivyo. (Let it be)
Ni chukizo kuwa sana kwa CCM wapinzani kuungana.
Ni mategemeo ya wengi kuwa hakutatokea Yuda Iskariote miongoni mwa wana UKAWA.
Yaani CCM ikiwagaragaza hawa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa then uchaguzi mkuu basi ndio utakuwa mwisho wa upinzani Tanzania!
Na kwa mipango iliyopo sasa cha moto watakiona serikali za mitaa kwani hawataamini macho Yao! Kama hapa Iramba hatutaki kuona hata mjumbe mmoja anatoka nje ya CCM
Mi nashambulia Shelui, Mgongo, ntwike na Mgongo na tarafa ya Kisiriri yupo mkuu chemakalla, Ndago yupo Msengi na Kinampanda yupo comrade Lyanga akisaidiana na wankembeta na Winjuka!
Kila alipo Mwana CCM popote pale ahakikishe hawa UKAWA tunawaadabisha barabara! Acha wapige meneno sie twendeni vijijini
acha uongo wewe. Hata elfu hamsini hawajafika

... Wewe Kapimwe Akili Yako Ya ChooniMzee Slaa anajuta kuondoka kanisani, ungekuta sasa jamii bado inamuheshimu.
Safi sana UKAWA kwa ushirikiano huu,better late than never.
... Wewe Kapimwe Akili Yako Ya Chooni
... Asiyewapenda Ukawa Huyo Ni Shetani
Siyo mwisho wa upinzani. Sema mwisho wako. Miaka mingine mitano chini ya nyinyiem si heri ya kifo.
Utamjua nani kichaa Kati ya UKAWA na CCM tusubiri tarehe 14 uchaguzi wa serikali za mitaa!
UKAWA lazima mtage
Tunapambana na yeyote awe UKAWA kwa nguvu zote na dawa Yao sie vijana wengi twendeni vijijini tukafanye kazi kubwa na tushinde kwa zaidi ya 98% serikali za mitaa
Huo utakuwa mwisho wa ndoa yenu mliyoifunga Leo washenga NLD!
UKAWA subirini majibu tarehe 14 December ndio mtajua mbivu na mbichi
Kwahiyo Chadema mmekubali kabisa kuolewa na CUF?
hii safi sana,nimependa kusema mkolon mweuc ang'olewe