Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Kwahiyo mkifanya vurugu na kuharibu mali zenu wenyewe za umma ndiyo mtapewa ulinzi au?Maandamano ya amani kama mliyataka mngehakikisha waandamanaji wanapewa ulinzi tangu mapema badala ya vile vitisho vyenu.....kwa hiyo kaa kwa kutulia
Sasahivi mnakuja na kila story wacheni wananchi wafanye wanachokitaka ni haki yao. NKwahiyo mkifanya vurugu na kuharibu mali zenu wenyewe za umma ndiyo mtapewa ulinzi au?
Fanyeni, kwani nani kawakataza?Sasahivi mnakuja na kila story wacheni wananchi wafanye wanachokitaka ni haki yao. N
Basi wacha kelele.Fanyeni, kwani nani kawakataza?
Hayo machawa ndio majizi yenyewe, yanapiga mamilioni kwa contract za CCM kusifia na kueneza ukandamizajiSio sawa. Wanaacha mali za mijizi ya ccm wanachoma mali za vijana wapambanaji. Nakumbuka mob justice is emotional, not logical.
Mali gani, si kila siku mnasema mama katoaKwahiyo mkifanya vurugu na kuharibu mali zenu wenyewe za umma ndiyo mtapewa ulinzi au?
Ila stupidity ๐คฆโโ๏ธ๐ฎ
Usinipangie, nina "uhuru wa kuongea" kama ambavyo unao wewe.Basi wacha kelele.
Usilalamike wananchi wanachofanya. Ccm huteka na kuua hujawahipo kukemea.Usinipangie, nina "uhuru wa kuongea" kama ambavyo unao wewe.
Una uhakika sijawahi?Usilalamike wananchi wanachofanya. Ccm huteka na kuua hujawahipo kukemea.
Nyie wadhalimu hamna jema, hata kama kusingekuwa na hata jiwe moja lililorushwa mngetengeneza mabango ya propaganda ya kumsifu mama yenu kama mwanademokrasia wa karne kuwezesha uchaguzi kufanyika pamoja na maandamano ya amani.Wameondoa maana nzima ya maandamano ya amani ambayo tulitarajia yataleta matokeo na wameyageuza kuwa vurugu za uharibifu ๐ฎ๐ฎ
safi sana kama hii itaendela hivi. Hawa nao ni ndugu zetuMpaka sasahivi hakuna Askari aliyemjeruhi Raia, sanasana wanapiga risasi juu....Hili nalo ni la kujifunza
I second this ๐๐พWamelitesa sana hili Taifa.
Wamejjigawia migodi ya madini, wanajigawia tenda na kandarasi za Serikalini ili kupiga hela za walalahoi
Wakaenda zaidi kututeka, kutuua na kutumaliza
Tunaomba mchukue nchi tuanze kuijenga upya.
Haha vipi nyie mmeshindwa?Wamelitesa sana hili Taifa.
Wamejjigawia migodi ya madini, wanajigawia tenda na kandarasi za Serikalini ili kupiga hela za walalahoi
Wakaenda zaidi kututeka, kutuua na kutumaliza
Tunaomba mchukue nchi tuanze kuijenga upya.
Wahuni wote wakamatwe mali zote walizoiba zirudishwe kwa umma. Majizi yote watupwe lupango.Wamelitesa sana hili Taifa.
Wamejjigawia migodi ya madini, wanajigawia tenda na kandarasi za Serikalini ili kupiga hela za walalahoi
Wakaenda zaidi kututeka, kutuua na kutumaliza
Tunaomba mchukue nchi tuanze kuijenga upya.