Unaota bwana mdogo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nyie watu ni washenzi sana. Na jueni tu huu ndo mwisho wenu kuwafanya Watanganyika mazuzu.
Hapa Dar wamekamatwa na wengi kuuwawa. Wako chini ya JWTZ.
Subiri kazi ikamilike wataonyeshwa.
Si ulisema hakutakuwa na maandamano? Kiko wapi?Unaota bwana mdogo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uongo wowote ule una haribu jambo hata kama ni zuri. Kuna dai la msingi kuhusu mifumo ya kuendesha siasa za nchi, hatuhitaji uongo kuharibu, na tukitumia uongo basi tutapata malipo yake vilevileNyie watu ni washenzi sana. Na jueni tu huu ndo mwisho wenu kuwafanya Watanganyika mazuzu.
Hapa Dar wamekamatwa na wengi kuuwawa. Wako chini ya JWTZ.
Subiri kazi ikamilike wataonyeshwa.
Uchu wa madaraka.Tunathibitisha vipi madai hayo?
Kwa mfumo wa uchaguzi tulio nao, kuna haja gani ya kuleta wanajeshi wageni? Unahisi Jeshi letu lipo kinyume na chama tawala?
Kwa nani?Uchu wa madaraka.
Mkuu uchaguzi umeshakwisha na mshindi ashatangazwa.Amefanya kosa kubwa zaidi kwa kuingiza majeshi ya kigeni kuwaua Watanganyika ili atutawale kwa nguvu.
Mmejionea wenyewe askari wa Uganda, Burundi na Msumbiji walivyojaa na wanavyoua Watanganyika. Hili ni kosa kubwa zaidi kuwai kufanywa na mtu yeyote yule.
Amejitangaza kuwa Rais wa Tanzania kwa kulazimisha Tume kumtangaza.
Silaha zote mnazo nyie. Hakikisheni kuanzia leo mahali popote atakapokuwa ndani ya Tanganyika anakamwatwa na kuwekwa kizuizini.
Zaidi chukueni hii nchi leo hii. Inyeshe mvua liwake jua hakikisheni kuna Press ya Kitaifa ya Jeshi kuchukua nchi. Acheni usenge.
Samia ni dikteta haswa. Hataki mawazo tofauti. Kajipitisha kugombea CCM, kafungia upinzani wote ndani na nje ya chama, kazifunga mdomo media zote za ndani. TBC ni kama mdomo wake. Na sasa hivi kajitangaza kuwa mshindi katikati ya low turnout, machafuko.Amejitangaza kuwa Rais wa Tanzania kwa kulazimisha Tume kumtangaza.
Katiba inaruhusu kuiba Uchaguzi?Mkuu uchaguzi umeshakwisha na mshindi ashatangazwa.
Swala la jeshi kuchukua nchi katiba yetu inazuia na hata kimuundo utekelezaji wake ni mgumu kuliko unavyodhani.
Vijana wa Gen- Z , na watanzania kwa sasa turudi kujenga nchi. Uchaguzi ushakwisha mpaka 2030.
Walioshinda iwe somo la wapi mliteleza na kutimbinganya murekebishe.
Wananchi ndio wenye nchi, muwasikilize malalamiko yao.
Wapinzani sio maadui.
Wafungwa wa kisiasa watolewe magerezani na udwanzi wa kutekana ukome.
Katiba mpya ya warioba irasimishwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi baadae.
Mungu ibariki Tanzania.
ACHA UPUMBAVUBwana mdogo hebu lala kidogo!!! Unachanganyikiwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu wa kazi tunapoendea tutakulana nyama choma wenyewe kwa wenyewe.K
Katiba inaruhusu kuiba Uchaguzi?
Hayo maneno yenu ya kipuuzi imyaishie huko huko kwenu wapumbavu nyie.
🖕Wewe chokoraa vipi bado huamini Nguvu ya UMMA?
Ndio nafanikiwa kulog in tena.. ah bwana walibaruza sana wadudu🤭Leo mchana na jioni flani hivi nilikuwa nasikia milipuko, au ni watoto wa jirani wanalipua baruti?
Niko salama kimwili mkuu kiakili siko salama!
Bora upo, akili itapona mbele kwa mbeleNiko salama kimwili mkuu kiakili siko salama!
YesIt was terrible in Mwanza