PICHA: Nifanyeje ili kuacha Kitimoto kama dini yangu inavyonikataza?

Wewe ni muongo, nia yako ni kusifia kitimoto na pengine kuudhi baadhi ya waislam.

Hakuna msikiti wowote unaoweza kukutenga sababu ya unachokula unless uende ukalie hapo msikitini, napo pia hutotengwa zaidi ya kufukuzwa kwa wakati huo tu.

Waislam hatuna itikadi ya kuhukumu mtu sababu ya maisha anayoishi na ndio maana hata siku moja hutosikia maiti ya muislam kutoswalia ama kuzikwa sababu marehemu hakuwa akihudhuria msikitini. Hukumu tunamuachia Mungu.

Kuna uwezekano wa kusifiia ukipendacho bila kukarahisha wengine.
 
Uzuri zile sehemu wanazouza ukienda hawaulizi wewe ni dini gani! Utakaa zako utakula then utasepa..ni sawa na wale waislamu wanaoingia lodge mwezi wa ramadhani,kule lodge hawaulizi "mbona unakuja huku huu mwezi huuoni?
Ni suala la kiimani zaidi! Wewe kama umeamua kula tu mkuu,lakinj usitamanishe wengine ambao hawali🤣🤔
 
kitu ambacho watu wengi hawakijui ni kwamba kitimoto ni mnyama aliyetakaswa ni kiumbe kitakatifu, adui wa mashetani na mapepo kwaiyo wew kama ni mfugaji wa yale mavitu ya kipepo lazima umpinge sana nguruwe maana hawapatani.

mashekh wanatuficha tu kuwa kitimoto haipatani na vitu wanavyovifuga ndio maana wanampitia mbali,

kuna muhuni wangu mmoja aliutupia mnofu wa kitimoto ndani ya dirisha la shekh dah kilichotokea mule ndani unaweza ukasema movie ya kuigizwa.
 
Astakafullilah! Mambo gani tena haya!
🙄
 
braza acha kula najisi
 
Wewe kula tu kwani wakikusema wanaondoka na hayo meno yako ya njano?.
 
muongo kubwa mkubwa dini yako igekuwa inazia ulisha hacha kula uchafu huo
 
anajifariji tu lakini pua yake imeinamia chini
 
@Firdaus9 ndugu zanu wengi wanatumia hii chakula,mm nimeshudia kwa macho yangu mawili rafiki zangu wanatumia fresh tuu na ni swala 5
angalia pua yako imeangalia wapi kisha ujiulize kwa nn imeelekea chini
 
full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…