Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Wewe ni muongo, nia yako ni kusifia kitimoto na pengine kuudhi baadhi ya waislam.
Hakuna msikiti wowote unaoweza kukutenga sababu ya unachokula unless uende ukalie hapo msikitini, napo pia hutotengwa zaidi ya kufukuzwa kwa wakati huo tu.
Waislam hatuna itikadi ya kuhukumu mtu sababu ya maisha anayoishi na ndio maana hata siku moja hutosikia maiti ya muislam kutoswalia ama kuzikwa sababu marehemu hakuwa akihudhuria msikitini. Hukumu tunamuachia Mungu.
Kuna uwezekano wa kusifiia ukipendacho bila kukarahisha wengine.