PICHA: Nilichoshuhudia ni ishara mbaya sana kwa jamii

Unahitaji msaada wa kisaikolojia, una shida sehemu. Yaani mbuzi ndo wanakushughulisha kiasi hicho? Unafanya kazi gani kwanza?
Napiga maji karibu.
Ukiwa nje kijijini kwenu huko, bibiyako akiwa anaoga bafu la makuti, gafla ukasikia kishindo kugeuka bafu limeanguka.

Usiwe mvivu kama mvuvi wa kaa.
 
Serikali itamchukulis hatua mwenye mbuzi
Tukio la ajabu kabisa hili, SMZ imtafute huyu mwenye hii mifugo impe kalipio la kufuga jinsia moja ya wanyama.
 
Unafikiri nini kifanyike shekhe!?
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imtafute huyu mwenye hii mifugo impe kalipio la kufuga jinsia moja ya mbuzi pasipo majike.

Sababu kuna hatari kubwa sana hapo.
 
Mufti hili tukio nimeshuhudua mimi siyo wewe, eti useme hapo walikuwa wanafanya friend approaching heheheeeeee!.

Approach wkt mshebedwe umemea kabisa na pingili za nyonga zinaplay 〽️ hebu acha mkuu!.
 
Nipe location nimwambie driver uje tuonane tukapige ulojo na sharwat pale forozani sheikh baada ya Ψ§Ω„ΨΊΨ±Ψ¨ πŸŒ™!.
Jamani😁, shekhe,

Kuna sehemu Kuna urojo mtamu,kuliko huo wa foro.
 
Kwa kawaida binadamu unaweza mlinganisha na wanyama? kwamba binadamu nae awe kila mwanamke anapokojoa mwanaume akimbie akanuse mkojo wake?

Lete maana nyingine binadamu huwezi mlinganisha na wanyama
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwanza nichekee.
Hivi si ndo nyie mnaoletaga hoja za kukinzana kati ya binadamu na wanyama kuhusu homo?

Leo mmeoneshwa kuwa hicho kitu hata kwa wanyama kipo, mnaanza tena kuleta njegekaa.
Woiiiii!! Poleeeni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Majiraniiiii hukuuuu!!!
 
Je wewe uko tayari kupigwa paipu kadri ya hitaji lako binafsi?
Km hitaji langu binafsi ni kupigwa paipu, na mpigaji yupo, why not?
Hujamboo lakiniiii?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…