πππππππMufti hili tukio nimeshuhudua mimi siyo wewe, eti useme hapo walikuwa wanafanya friend approaching heheheeeeee!.
Approach wkt mshebedwe umemea kabisa na pingili za nyonga zinaplay γ½οΈ hebu acha mkuu!.
Na ukiona pia mwanaume anampanda mwanaume mwenzake ujue hiyo ni ishara ya kuimarisha ujamaa, undugu na urafiki MIONGONI mwa wanaume na sio ushoga.Ile ni ishara ya kuimarisha bond ya ujamaa, undugu na urafiki MIONGONI mwa wanyama.
TUJIFUNZE KUWAELEWA WANYAMA
Seems you are pro- homo. aren't you?Nasubiri kuona mapovu ya waja, wanaosema, hata wanyama hawawezi kuwa homo.
Hikii nini? Ahsante kwa kutuletea uthibitisho huu, nimesha save hizi picha, kwa ushahidi zaidi hapo baadae.
Ubarikiwe sanaa!!
Mtume Mohammed mimi simjuiHayo sio mafundisho ya yesu hayo ni mafundisho ya mtume muhamad
Ni mwanzilishi wa dini ya uislamMtume Mohammed mimi simjui
Uume unapenyezwa au wanapandiana tu,?Sema mbwa ndio wamevuka mipaka ya ushoga,mbwa wakikutana madume wawili ni lazima wapandane nimeshashuhudia mara kibao na sio kusimuliwa
Mimi siujui zaidi ya kumjua yesuNi mwanzilishi wa dini ya uislam
Yesu mwenyewe alikuwa muislamMimi siujui zaidi ya kumjua yesu
UshogaaWangekua binadamu hapo? Wangekua wanafanya nini? πππππ
Hapo hakuna jambo litawezekana haitatokea Mbuzi kumpanda dume mwenzake.Uligundua nini ktk kuchunga kwako hao mbuzi hiyo tabia imekujaje mpaka kumendeana?.
ndugu shoga naona umefurahi kweli moyoni kukutana na mashoga wenzie mbuzi. kama moyo wako haujajaa uchafu, inakuwaje wazo kama hilo lipite tu hata kichwani kwako?Asalaam alykhum.
Tumsifu Kristu.
View attachment 3403564
View attachment 3403567
Kuna lile tukio lilitokea kule Serengeti (kama sijakosea) la simba dume kutongozana na kuanza kufanya ufuksa.
Basi leo siyo Serengeti ni mjini kabisa hapa Zanzibar, nikiwa napelekwa kupumzika kule Pwani mchangani kufika eneo moja la jeshi karibu na chuo cha Mwl. Nyerere.
Tulisimama kupisha kundi ka mbuzi kuvuka barabara ndipo nikaona kama unavyoona pichani, yaani beberu ni wengi sana na kinachoendelea hapo wanapandiana wao kwa wao, subhuana wallah π!.
Na kuna vijana wadogo wanaangalia matukio hayo, nilishikwa bumbuwazi, haki π’!.
Hajawahi kuwa na wala haujuiYesu mwenyewe alikuwa muislam
Naona keshapata majibu yamemtoshaAngel Nylon Jamaa ya wapi hii, ina taka haribu sifa ya Zanzibar, haijui mimi kuja oa kule Mwaka 2027.
Ulale Sasa mchuchu, marudio ya kombolela uta angalia keshoπ¦Naona keshapata majibu yamemtosha
Kama kufahamu keshafahamu...wafugaji wamekuja juu π
Lol....halafu hilo neno kombolela naliskia tu kwa watu. Sijawahi hata kuangaliaUlale Sasa mchuchu, marudio ya kombolela uta angalia keshoπ¦