Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,575
Huyo Mtanzania mwenzako anayeuza mchele elfu tatu ndio huyo huyo anayenunua vitumbua. Nenda kamuungishe mchina ambaye vitumbua hanunui na hela yako anapeleka kwenye bank ya kichina/china, na aliyekuwa anakuuzia mchele elfu tatu kwakua humuungishi, anashindwa kununua vitumbua hivyo vitumbua haviuziki! mwisho mzunguko mdogo wa fedha, uchumi mkua mgumu, umasikini kuongezeka.Mimi nimeelewa mchele ambao wewe unauza Tsh 3000, mchina anauza tsh 1000.
Sasa mteja aliyenunua kwa mchina atabaki na elfu mbili ya kwenda kununua vitumbua, viungo vya kupikia mchele pamoja na dagaa.
Hivyo kama umepata msongo wa mawazo nadhani umepona
Nyie wauza mchele mara nyingi mnakula nyama hivyo acha mteja abaki na salio la kwenda kumuungisha mama vitumbua
Akipata hela mchina haendi kula vitumbua anaingia Chinese restaurantsUnadhani kwanini Kipanya kaweka hiyo frame namba 3?
Ya Mchina kushika fedha, akienda kwenye jengo la kichina?
Bado hujajua nini maana ya mzunguko wa biashara... Kwani mbongo anaebeba box pale marekani, Uingereza, Japan au hata anaeuchuuza viatu pale Nairobi haruhusiwi kutuma kiasi fulani kwao?Tazama upya, huyo wa kununua vitumbua sio mteja tu, maana ya ziada kuwa akiuza faida inarudi kwa wananchi nchini, utaona jamaa anatembea anapeleka hela ktk vitumbua.
Mchina faida anapeleka kwao,unaona anatembea kwenda ktk jengo lenye maandish ya kichina badala kurudi kwa wazawa.
Tazama upya, huyo wa kununua vitumbua sio mteja tu, maana ya ziada kuwa akiuza faida inarudi kwa wananchi nchini, utaona jamaa anatembea anapeleka hela ktk vitumbua.
Mchina faida anapeleka kwao,unaona anatembea kwenda ktk jengo lenye maandish ya kichina badala kurudi kwa wazawa.
Hakuna cha shallow thinking, watanzania hatupendi ushindani kwenye nyanja yoyote ile.Shallow thinking.
Bado hujajua nini maana ya mzunguko wa biashara... Kwani mbongo anaebeba box pale marekani haruhusiwi kutuma kiasi fulani kwao?
Kuna hela nyingi zinaingia kutoka nje na kuna zinazotoka, na zote zinakatwa makato.... Watu kama nyie nawafananisha na wahadzabe
Mtanzania anataka hela za harakaharaka hata kama atamuuzia masikini bidhaa kwa faida ya nusu kwa nusuWafanyabiashara wanapenda faida kuuubwa na kuchukia mno mno ushindani.
Hakuna cha shallow thinking, watanzania hatupendi ushindani kwenye nyanja yoyote ile.
Kila mtu Ashinde mechi zakeMtanzania anataka hela za harakaharaka hata kama atamuuzia masikini bidhaa kwa faida ya nusu kwa nusu
Tujiulize kwanza mchina anatoa wapi Michele hadi auze 1000 na watanzania wanatoa wapi Michele hadi wauze 3000?Wakuu,
Tunaposema Wachina ni existentia threat kwenye nchi hii, basi tunamaanisha mambo kama haya.
Mimi nilivyoelewa hii katuni ya Masoud Kipanya ni kwamba:
Pamoja na kwamba mchele unaouzwa na Mtanzania ni gharama lakini Mtanzania akinunua mchele, muuzaji ataenda kununua vitumbua baadae so kutakuwa na mzunguko wa fedha ndani ya nchi. Yaani wataunganishana.
Ila mchina akiuza mchele, yeye hatumii fedha zake kwa Watanzania yaani HAWAUNGISHI wabongo.
Mkishanunua vitu kwake yeye ataenda ataenda kutumia hizo fedha kwenye hotel, restaurants na kwenye mahotel ya kichina.
Na ndo maana Wachina wana CARWASH, HOTEL, RESTAURANTS, YARDS na HOSPITALI.
Mnawapa Wachina hela lakini hawazirudishi kwenu, wanazitumia kwao.
Nyie wenzangu mmeelewaje?
View attachment 3282509
Kwahiyo tatizo sio wachina ni wabongo wenyewe sio? Japo sina hakika na ulichosema, huoni serikali ndio ya kulaumiwa?Wabongo wanaobeba mabox Marekani wana benki ya kibongo, car wash, restaurants na hoteli za kwao tu kama wachina wanavyofanya?
Plus kwa diaspora, watakwambia kwamba ukituma hela nyingi sana kutoka Marekani kwenda nchi nyingi in the name of kutumia familia yako, FBI wana-detect na watakuja on your door kukuuliza kwanini unatuma hela nyingi nje ya nchi.
Mambo sio rahisi kwa wenzetu kama unavyodhani
Swali lako Lina mashiko🤔Tujiulize kwanza mchina anatoa wapi Michele hadi auze 1000 na watanzania wanatoa wapi Michele hadi wauze 3000?
Kwako mlalamikaji wetu MindyouTujiulize kwanza mchina anatoa wapi Michele hadi auze 1000 na watanzania wanatoa wapi Michele hadi wauze 3000?
Wanachofanya wachina ndicho ambacho wahindi wamekifanya kwa miaka mingi maana wao wana shule zao binafsi, restaurants na maanee ya kuishi. Na hata vijana wa kiume wanatafutiwa mabinti kutoka Pakistan na India waje kuoa
Nachokiona tofauti yao na wachina ni kuwa wahindi na waarabu wameingia bongo karne nyingi hivyo namna yao ya kuishi tumeichukulia kama kawaida.. Ila mchina anaonekana mgeni na anapambania kila chocho ambani muhindi haoni kama ni hadhi yake