Picha: Pongeze zenu Mawaziri mmefika Kariakoo kufanya kazi. Hongereni sana

Naona hapo WAMETINGA KUSAIDIA UOKOZI


lakini jameni kweli hata wewe usingeenda uwekewe kaposho kidogo na mafuta
 
Aisee hatujui mambo ya Safety kabisa Mawaziri hawakutakiwa kuwepo hapo zaidi ya vikosi vya kuokoa na ambulance za kutosha...bongo watu wapo busy kuokoa wengine wameweka miguu nne kabisa na wamekaa kwenye viti kisa mawaziri..
 
Uchawa mbaya sanaa.
 
Sijui Watanganyika tumemkosea nini muumba wetu,majitu yana roho mbaya hatari.
 
Uchawa mbaya sanaa.
Hii dhamira yake iko sawa kabisa, kwamba angeinyosha nchi. Ila kwa mifumo, sheria, katiba, na historia ya Kitanzania na kiafrica, mawazo yake yatabakia kuwa ndoto isiyotimia wala kutekelezeka miaka milioni. Wachukue watu smart 20 tu wa kada mbalimbali,kama, ulinzi/usalama, ufundi, uchumi,, mipango, ardhi, dini, kilimo, maji, viwanda/uwekezaji/ajira, technology/IT nk Wahakikishie usalama, wao. Watake wakupe, vision,mission ya miaka 10 tu ya maendeleo. Utashangaa watu walivyo na madini hatari. Lakini hata kama watakupa mawazo ya mbinguni na mwezini, yatatupwa kwenye makabati, zitaendelea sera za kisiasa, za kula rasilimali zetu kwa makundi, kichama, kidini, kikanda, kimitandao nk.
 
Wamejipanga Kama Mbuzi Wanaojikuna Kwenye Ukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…