Picha: Pongeze zenu Mawaziri mmefika Kariakoo kufanya kazi. Hongereni sana

Picha: Pongeze zenu Mawaziri mmefika Kariakoo kufanya kazi. Hongereni sana

Naona hapo WAMETINGA KUSAIDIA UOKOZI


lakini jameni kweli hata wewe usingeenda uwekewe kaposho kidogo na mafuta
 
Aisee hatujui mambo ya Safety kabisa Mawaziri hawakutakiwa kuwepo hapo zaidi ya vikosi vya kuokoa na ambulance za kutosha...bongo watu wapo busy kuokoa wengine wameweka miguu nne kabisa na wamekaa kwenye viti kisa mawaziri..
 
Duh hii nchi hii Basi tu ningepewa urais hata mwaka mimi watu wangekimbia hii nchi

Ningeinyoosha Mara 1000 ya alivyowanyoosha Magufuli halafu ningeweka mifumo na kuandika katiba ya uwajibikaji na ningejiuzulu na kuacha mifumo ya kuweza kuendesha nchi miaka 10000 ijayo!!.
Uchawa mbaya sanaa.
 
Sijui Watanganyika tumemkosea nini muumba wetu,majitu yana roho mbaya hatari.
 
Uchawa mbaya sanaa.
Hii dhamira yake iko sawa kabisa, kwamba angeinyosha nchi. Ila kwa mifumo, sheria, katiba, na historia ya Kitanzania na kiafrica, mawazo yake yatabakia kuwa ndoto isiyotimia wala kutekelezeka miaka milioni. Wachukue watu smart 20 tu wa kada mbalimbali,kama, ulinzi/usalama, ufundi, uchumi,, mipango, ardhi, dini, kilimo, maji, viwanda/uwekezaji/ajira, technology/IT nk Wahakikishie usalama, wao. Watake wakupe, vision,mission ya miaka 10 tu ya maendeleo. Utashangaa watu walivyo na madini hatari. Lakini hata kama watakupa mawazo ya mbinguni na mwezini, yatatupwa kwenye makabati, zitaendelea sera za kisiasa, za kula rasilimali zetu kwa makundi, kichama, kidini, kikanda, kimitandao nk.
 
Wamejipanga Kama Mbuzi Wanaojikuna Kwenye Ukuta
 
Back
Top Bottom