spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Naona hapo WAMETINGA KUSAIDIA UOKOZI
lakini jameni kweli hata wewe usingeenda uwekewe kaposho kidogo na mafuta
lakini jameni kweli hata wewe usingeenda uwekewe kaposho kidogo na mafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu hayo mabegi utadhani wamebeba mawe mazito kweli kweli kumbe yamejazwa upepo tu haya maisha haya hahahaNyakati kamaa hizi hawa jamaa walitakiwa wawe KkooView attachment 3154613
Haya. Tumekusikia. Ila lugha, kauli inakataaU
Unauliza swali kama umewekewa kipande cha mti huko kwenye masaburi
Uchawa mbaya sanaa.Duh hii nchi hii Basi tu ningepewa urais hata mwaka mimi watu wangekimbia hii nchi
Ningeinyoosha Mara 1000 ya alivyowanyoosha Magufuli halafu ningeweka mifumo na kuandika katiba ya uwajibikaji na ningejiuzulu na kuacha mifumo ya kuweza kuendesha nchi miaka 10000 ijayo!!.
Hakuna cha maana walichofanya zaidi ya kuzuia watu ili magari yapiteNadhani hujui kazi ya hawa jamaa, wana different set of skills. Kuna wanajeshi wako pale tayari tokea mwanzoni, core of engineers
Wale waliopo pale ni regular forces, sio unitHakuna cha maana walichofanya zaidi ya kuzuia watu ili magari yapite
Umewahi kuona nchi za wenzetu? Fuatilia tukio la 9/11 utaelewa vizuri
Hu ni upumbavu and cheap politics, tunakosa madawa hospitali, nchi haina maji safi na salama, umeme ni shida wamaenda kuuza sura zao kule kuonekana wanajali shit.Mawaziri wakiwa eneo la tukio kuendelea kuokoa wahanga
View attachment 3154612
Hata kule Hanang'i nako ilikuwa hivihivi.Mawaziri wakiwa eneo la tukio kuendelea kuokoa wahanga
View attachment 3154612
Kwani kapongeza au kawakejeli?Ajali ingekuwa Mpanda, ..... wangefika?
Badala ya kupongeza utelezwaji mahsusi wa Sera, unasifia watu waliokaa.
Na hapo wanaweza andikia posho kuwa wapo kwenye kikosi kazi cha Uokoaji.
Hii dhamira yake iko sawa kabisa, kwamba angeinyosha nchi. Ila kwa mifumo, sheria, katiba, na historia ya Kitanzania na kiafrica, mawazo yake yatabakia kuwa ndoto isiyotimia wala kutekelezeka miaka milioni. Wachukue watu smart 20 tu wa kada mbalimbali,kama, ulinzi/usalama, ufundi, uchumi,, mipango, ardhi, dini, kilimo, maji, viwanda/uwekezaji/ajira, technology/IT nk Wahakikishie usalama, wao. Watake wakupe, vision,mission ya miaka 10 tu ya maendeleo. Utashangaa watu walivyo na madini hatari. Lakini hata kama watakupa mawazo ya mbinguni na mwezini, yatatupwa kwenye makabati, zitaendelea sera za kisiasa, za kula rasilimali zetu kwa makundi, kichama, kidini, kikanda, kimitandao nk.Uchawa mbaya sanaa.
Wanachapa kazi kwelikweli.Mawaziri wakiwa eneo la tukio kuendelea kuokoa wahanga
View attachment 3154612