PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Pana swala gumu kidogo, Picha ilikuwa ya 1973 lakini google wameandika Putin alimaliza chuo 1975, huenda ni maisha ya kijasusi labda chuoni ilikuwa ni zuga tu huku anaendelea na majukumu mengine. Anyway, nanyi mnaweza kutoa maoni yenu.

putin-2-1.png
 
Ndio hapo mkuu.Kina James kabarebe wanaongoza mishen nzito nziyo za kivira wakiwa t 25 yrs wnakinuisha ila m bongo at that age hata hel ya bundle changamoto
yule jamaa ndio kaikalisha kinshasa mwaka 1997 kakiwa ka bwana mdogo tu kali assume mamlaka kabla hata Laurent kabila hajafika kinshasa tuna safari ndefu sisi watanzania,primaly miaka 9, sekondari miaka 4, advance 3 na chuo mitatu,huu ni upotevu wa muda
 
yule jamaa ndio kaikalisha kinshasa mwaka 1997 kakiwa ka bwana mdogo tu kali assume mamlaka kabla hata Laurent kabila hajafika kinshasa
tuna safari ndefu sisi watanzania,primaly miaka 9, sekondari miaka 4, advance 3 na chuo mitatu,huu ni upotevu wa muda
Sure man kumbe unamnyaka vyema huyu mwamba.huwa namkubal sana huyu mtu kuliko ata PK
 
Sure man kumbe unamnyaka vyema huyu mwamba.huwa namkubal sana huyu mtu kuliko ata PK
Nampata yule,Kagame mwenyewe anamkubali sana licha ya kwamba kuna kipindi aliona jamaa ni tishio kwa mamlaka yake akaanza kumuwekea nongwa.

Yule mwamba alikutana na wacongo akachoka,mara wanajeshi wa congo wanamwaga damu ofisini(ushirikina) akashangaa sana
 
Back
Top Bottom