Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Yah sure mara ya mwishi kusikia habar zake hawakua in good terms na Kagame na jamaa ni kama alikua under very close watch ..Kagame akishakuona unajiweza tu bas nongwa haziishinampata yule,Kagame mwenyewe anamkubali sana licha ya kwamba kuna kipindi aliona jamaa ni tishio kwa mamlaka yake akaanza kumuwekea nongwa
yule mwamba alikutana na wacongo akachoka,mara wanajeshi wa congo wanamwaga damu ofisini(ushirikina) akashangaa sana