Rahisi sana fanya hivi mtoto aanze grade 1 akifika grade 2 kabla ya term ya pili kuisha mpeleke kayumba darasa la 3 then akiingia la darasa 4 baada ya mtihani mwaka unaofata mrudishe English medium tena grade 6 then atamaliza grade 7 kwa miaka 5 tu alafu mpeleke kenya secondary kule wanapiga 4 yrs only alafu then aende technical college kwa 4 yrs tena.Atakuwa amepiga jumla ya miaka 13 tu shuleni plus ni 3 ya kindergarten jumla 16 yrs kama akianza na miaka 3 akiwa na miaka 19 tayari ana professional yake ata akianza na miaka 5 sio mbaya kwani by 21yrs of age ana professional tyrSiku hizi kurukusha madarasa ni ngumu mmno
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app