julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
kahitumu judo hapo ana black belt guza motto wake uonemwaka 1973 alikua na miaka 21 lkn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kahitumu judo hapo ana black belt guza motto wake uonemwaka 1973 alikua na miaka 21 lkn
wewe ndie unayekunywa . hujui kuwa katila kipind cha vita barid block ya east ambayo ilikuwa champion na USSR wali fund hiz independent struggling na usishange kgb ndio waliotoa training na trainer s au bas naona naumiz kichw kukueleza vitu aout of your scopeAaaah izi story za vijiwe vya kahawa
Hakika uwepo wake yeye sisi wote tumepona..,.hii picha itunzwe vizuri itatusaidia mbele ya safari maana kuna jirani yetu mmoja ameanza kuleta shobo kwa ndugu yetu kaka Vladimir Putin.Pana swala gumu kidogo, Picha ilikuwa ya 1973 lakini google wameandika Putin alimaliza chuo 1975, huenda ni maisha ya kijasusi labda chuoni ilikuwa ni zuga tu huku anaendelea na majukumu mengine. Anyway, nanyi mnaweza kutoa maoni yenu.
![]()
Hujambo mrembo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijambo pedeshee ndama, vipi za kwako. [emoji23][emoji23]Hujambo mrembo
Nipo. Toa namba wewe upate hela ya weekend acha kuzubaa.Sijambo pedeshee ndama, vipi za kwako. [emoji23][emoji23]
Pedeshee PM bas jaman, uuuuhNipo. Toa namba wewe upate hela ya weekend acha kuzubaa.
Vipi unajua kwamba kabila alikua anasapotiwa na Tz kwenye hiyo misheni?Usimsifievsana huyo jamaayule jamaa ndio kaikalisha kinshasa mwaka 1997 kakiwa ka bwana mdogo tu kali assume mamlaka kabla hata Laurent kabila hajafika kinshasa
tuna safari ndefu sisi watanzania,primaly miaka 9, sekondari miaka 4, advance 3 na chuo mitatu,huu ni upotevu wa muda
Hili swala linaniumiza snaa kichwaNdio hapo mkuu.Kina James kabarebe wanaongoza mishen nzito nzito za kivita wakiwa t 25 yrs wnakinuisha ila m bongo at that age hata hel ya bundle changamoto
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]miaka 21 ni mtu mzima huyo, kwa hapa kwetu mtu ana 27 ana kitambi na kipara kimeanza lakini anajiona bado mtoto.
Sana mkuu.Kuna mdau mmoja hapo juu kasema sisi tunatumia muda mwing sana kwenye mfumo wa shulen..17 years imagine...Na kwakwel mimi pia naunga mkono hili
[emoji16][emoji16][emoji16] Kuna yule valentine stressa nae alifanya mapinduzi akiwa na miaka 25 tu .. wenzetu Wana pevuka kifikira wakiwa ktk age ndogo SanaMaummar Gadafi akiwa na 26 alipindua Serikali Libya akawa Mkuu wa Nchi 1969
Bongo age hiyo anasokota Dred kijiweni na yupo kwa Mama Jongo anasubiri Ugali na Uduvi wa bure mchana
Ndedu ina maana gani chiefThen this sounds personal..Kila lakheri mkuu.Endelea kusubiri KUDRA.Tukisubir wote kudra folen itakua ndedu sana acha wengine tu opt JITAHADA
Utamrukisha darasa wakati mitoto yako kichwani hamna kitu?Ulaya na Asia miaka 21 tayari una professional fulani, lawama tuwatupie pia serikali ya CCM.mimi binafsi watoto wangu nitawarukisha madarasa alafu nawapeleka veta na baadae vyuo vya kati kwanza
Ulizia huyo Stressa unayemsifia yupo wapi siku hizi.[emoji16][emoji16][emoji16] Kuna yule valentine stressa nae alifanya mapinduzi akiwa na miaka 25 tu .. wenzetu Wana pevuka kifikira wakiwa ktk age ndogo Sana
WW1? Kazaliwa 1952. Futa comment yako.inasemekana huyu jamaa ni immortal japo mimi siamini ila jamaa wanasema kapigana first word war.
Nilishafanya kwa mwanangu mmoja primary amesoma kwa miaka 5 tu hakuna kinachoshindikana kwa mipango.Acha kuwadanganya wenzako.Siku hizi kila Mwanafunzi anasajiliwa kwenye mfumo kwa PREM Number,sasa huo mchezo utaufanyia wapi?.
Ndefu mkuu 😎😎
ukweli ambao wengi hawataki kuubali ni kwamba mfumo wa kutafuta elimu tz, kuanzia primary-chuo kikuu, ni time consuming.yule jamaa ndio kaikalisha kinshasa mwaka 1997 kakiwa ka bwana mdogo tu kali assume mamlaka kabla hata Laurent kabila hajafika kinshasa
tuna safari ndefu sisi watanzania,primaly miaka 9, sekondari miaka 4, advance 3 na chuo mitatu,huu ni upotevu wa muda
You have hit someone hard with good arguments and examples. But in the end you have completely ruined it by calling that guy nitwit (a foolish person). If he knew english, he/she would answer you with arguments and examples. The problem with this language is that it comes with canoes, so it's just a matter of tolerance[emoji38][emoji38][emoji38]Use your brain for reasoning not your gut.
Putin was 20 years in 1973. How old was he when he joined the army and be in high school and University at the same time and still be able to come over here and be a trainer, go back to Russian in 75 to be awarded a law degree, then come down here and continue to train great armies like ours. It is an insult for a 20 year old to come añd train TPDF.
YOU GET THE POINT YOU NITWIT?