PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

nampata yule,Kagame mwenyewe anamkubali sana licha ya kwamba kuna kipindi aliona jamaa ni tishio kwa mamlaka yake akaanza kumuwekea nongwa
yule mwamba alikutana na wacongo akachoka,mara wanajeshi wa congo wanamwaga damu ofisini(ushirikina) akashangaa sana
Yah sure mara ya mwishi kusikia habar zake hawakua in good terms na Kagame na jamaa ni kama alikua under very close watch ..Kagame akishakuona unajiweza tu bas nongwa haziishi
 
Kwahiyo unataka vijana wetu wapindue nchi wakiwa na umri mdogo,unadhani kupindua nchi ni sifa positive?


yule jamaa ndio kaikalisha kinshasa mwaka 1997 kakiwa ka bwana mdogo tu kali assume mamlaka kabla hata Laurent kabila hajafika kinshasa
tuna safari ndefu sisi watanzania,primaly miaka 9, sekondari miaka 4, advance 3 na chuo mitatu,huu ni upotevu wa muda
 

Hapo anaonekan
putin-2-1.png

Nimesema historian yake alimaliza chuo mwaka 1975. Sijui alisomea hapa au ilikuwaje.
 
Tanzania tuna kizali cha kutembelewa na wapambanaji mfano Malcom X ,Fidel Castro ,Che Guevara nk

Cha ajabu nchi imekithiri wizi ,ufisadi ,uvivu ,uoga umasikini na ujinga.
Kwasababu tulikuwa na mfumo wa ujamaa. Baada ya kuukubali ubepari hakuna mwamba sliyekuja TZ.
 
Ndio hapo mkuu.Kina James kabarebe wanaongoza mishen nzito nzito za kivita wakiwa t 25 yrs wnakinuisha ila m bongo at that age hata hel ya bundle changamoto
Umemjuaje huyu mvamizi wa Zaire Kabarebe was 25
 
Kwa miaka yote hiyo si ajabu anaelewa baadhi ya maneno ya Kiswahili
 
Wanamapinduzi hua hawafi haraka angalia Kagame, Museveni, Putin, nakadhalika
 
Back
Top Bottom