Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1884186
Tatizo la uongozi wetu ni kila awamu inakuja na kipaumbele vyake, wakati mwingine unashindwa kuamini kuwa wanatoka ktk Chama kimojaKulazimisha kukamilisha makao makuu Dodoma ulikuwa uamuzi wa kukurupuka wa yule mshamba na dikteta uchwara aliyekufa kifo cha kizembe kwa kuendekeza ushirikina kwenye korona
Kulazimisha kukamilisha makao makuu Dodoma ulikuwa uamuzi wa kukurupuka wa yule mshamba na dikteta uchwara aliyekufa kifo cha kizembe kwa kuendekeza ushirikina kwenye korona
Kwenye kuachana na huu mradi wa tembo mweupe wa Makao Makuu Dodoma niko tayari kusimama na Mama hata ikibidi kujitoa muhanga.
Nyie wote wapumbavu sana. Eti gharama. Mnataka kuendelee dar tu. Vichwa maji kabisa.
Wewe huna akili. .punguwani usiyejitambua una kichaa cha mbwaKulazimisha kukamilisha makao makuu Dodoma ulikuwa uamuzi wa kukurupuka wa yule mshamba na dikteta uchwara aliyekufa kifo cha kizembe kwa kuendekeza ushirikina kwenye korona
Mkuki umekuchoma pabayaWewe huna akili. .punguwani usiyejitambua una kichaa cha mbwa
yote ni kuwa na Zanzibar huru,Naona waziri Hussein Mwinyi yupo na PM na senior Lukuvi hapo.
Mama aliwahi kuendesha kikao hicho enzi za JPM na Hussein akiwa kakaa pembeni ya PM hivyo yani.
Asipokuwepo Raisi, Makamu, WM, basi kikao kitaendeshwa na Lukuvi, Hussein akiendelea kukaa hapo hapo sio?
Zanzibar inaongozwa na raisi au waziri wa serikali ya JMT? Kikao hicho kinazungumzia mambo ya Muungano tu au hata na yale yasio ya muungano?
Kwanini kwenye bunge la JMT, ZNZ ingekuwa inawakilishwa na spika wa baraza lao pengine na makamu wa huko kwao?
Kwanin kwenye bunge la JMT kusingekuwa na session ya kujadili mambo ya muungano ambapo wawakilishi wa Znz wanakuwepo, session ikiisha wajikatae?
Hata sielewi, ndo mnasema tunatakiwa kupata Katiba nyingine ili niweze kuelewa?
Kazi tunayoKikao kimefanyika Dar tena sio Ikulu ya Dodoma!??
Daah.....!!!