Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mbona kama wanakunywa chai mgahawani?
By the way, umetuonesha picha hizi ili iweje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mbona kama wanakunywa chai mgahawani?
By the way, umetuonesha picha hizi ili iweje?
Yaani kaporomoka ghafra hata miezi sita haijafika ndy maana mm nawaunga mkono Islamic kuhusu wanawake even though mm ni christian huyu mama kaingizwa chaka nae kaingia kwa miguu na mikono miwiliHuyu mama mvuto wote umepukutika utadhani amemdhulumu mganga wake kama Mwinjuma Muumini !
si tulikubaliana ikulu iwe ile ya dodoma au?2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Huyu jamaa nimemdharau mnoo yaani huwa sisomi post zake akili yake ipo sehemu ya kutolea maviThat's the only thing you are good at!!
Poor you!!!
Nenda facebook kunakufaaUnatesekea ukiwa wapi, ulitaka mama yako ndio awe rais
Hawa ndio wanaoitafuna nchi,mambo mabaya na mazuri yanasababishwa na hiki kikundi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1884186
Kwa hiyo wana nyumba Dar pia wana nyumba Dodoma.....!!Wewe ndio hujui, wakiwa Dar hawalipwi posho yoyote maana wana nyumba huko pia. Kwa hiyo kama hiyo ndio ilikuwa tatizo lako nimeshakupa taarifa.
Mwisho wa siku tunaletewa TOZO za ajabu ajabu tuIngekuwa Dodoma inakusaidia nini? La maana nchi imetulia serikali inaendeshwa hata ingekuwa Mtwara sawa tu.
Huyo rais asiye kivuli hatumuoni akiongoza cabinet [emoji1787][emoji1787][emoji23] za kuambiwa changanya na za kwako yaan tumia akili mzeeRais kivuli inasikitisha sana kwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Hushasema mawaziri mtu akifa sio waziri tena mzee [emoji2]tumia AKILIHakuna kitu kama hicho, makazi na familia zao zilishahamia Dodoma sio Dar tena
Wakija Dar wanalamba posho. Kumbuka kuna madereva pía huambatana nao plus Gharama za mafuta za yale 'mashangingi'
Waziri Kwandikwa amefariki na msiba ulikuwa nyumbani kwake Kibaha, kwann isiwe kwenye nyumba zao za mawaziri Masaki, Mikocheni au K'nyama!???
Gombea 2025 uende wewe chamwinoHuyu bibi dodoma amegoma kwenda anafanya nini dar
Dar iko karibu na Zanzibar dodoma ilikuwa karibu na chato.Kikao kimefanyika Dar tena sio Ikulu ya Dodoma!??
Daah.....!!!
Huyo rais asiye kivuli hatumuoni akiongoza cabinet [emoji1787][emoji1787][emoji23] za kuambiwa changanya na za kwako yaan tumia akili mzee
Bora akae hapo ikulu ya dar inakuwa ni rahisi kupata haki yake tusijasahaulishe juzi wakati wachanjo alisema yeye nisi tulikubaliana ikulu iwe ile ya dodoma au?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1884186
Huyu mama kapoteza sifa yake kwa namna ambayo kuna muda huwa nikikaa namsikitikia sana. Alianza vizuri mno mno.
wapi kapoteza/Huyu mama kapoteza sifa yake kwa namna ambayo kuna muda huwa nikikaa namsikitikia sana. Alianza vizuri mno mno.