Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
ni chuki binafsi tu na umaskini wa kifikra miongoni mwa baadhi ya waTanzania hasa wasusia uchaguzi mkuuNdugu zangu Watanzania,View attachment 3700500
Hiyo ni Picha Ya Rais wa Afrika Kusini Akiwa na Binti yake katika Ziara yake ya kikazi Nchini Italy Ambako ameweza kuambatana naye .Na siyo Mara ya kwanza wala ya pili bali amekuwa akifanya hivyo katika ziara nyingi tu kuambatana na Mwanaye ama Binti yake huyo Kipenzi.
Ikumbukwe Huyo Mtoto Hakuchagua Kuzaliwa Familia ya Ramaphosa na wala hakupanga Baba yake awe Rais . Lakini pia Urais Wa Baba yake haumuondolei haki ya kupata Nafasi ya kuwa karibu na Baba yake ama kusafiri naye ama kuw naye karibu
Baba yake kuwa Rais haimtengi na Baba yake . Baba yake pia ambaye ni Rais anayo haki ya kusafiri na Binti yake na Familia yake na hata kuwatambulisha kwa viongozi wenzake huko aendako bila kuomba kibali kwa yeyote yule.
Sasa ingekuwa hapa Nchini ndio amefanya Rais wetu Mpendwa ungeona Wanaharakati Uchwara waliojaa njaaa tupu namna ambavyo wangeanza kuongea na kuropoka ropoka Hovyo hovyo kama walevi wa gongo .
Ungeona namna ambavyo wangeanza kuzusha uongo na ufitini na kila aina ya upashikuna na ushakunoko usio na kichwa wala Miguu. Ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa kana kwamba anakuwa amevunja sheria ama katiba ya Nchi.
Kinachowasumbua Wanaharakati Uchwara ni Wivu Chuki Binafsi roho mbaya njaa na kutumika na kutumiwa vibaya bila kufikiri wala kujiuliza swali lolote lile . Wao ni kukurupuka tu kama kuku .
Kwa wivu wao wanaendelea kubakia maskini wa kutupwa wasio na mbele wala nyuma . Kwa sababu badala ya kujibidisha kufanya kazi wao wanakalia kutwa nzima kupiga umbeya tu mtaa kwa mtaa na kijiwe kwa kijiwe halafu mwisho wa siku wakiona mtu anapata maendeleo ama kufanikiwa wao wanaanza kumpiga Majungu na kumuonea wivu na kumuombea dua mbaya ili ashuke na awe kama wao .
Ndio Maana hawabarikiwi zaidi ya kukaa laana nukusi na Mikosi kila Uchao pamoja na mabalaa ya kila aina .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nimeshakwambia siyo mara ya kwanza wala ya pili wala ya mwisho kwa Rais huyo kusafiri na Binti yake na wa Afrika Kusini hawana ushamba wa kuanza kupiga kelele maana wanajua binti huyo anayo haki ya kusafiri na Baba yake na wala haipotezi haki yake kwa Baba yake ama aishi kama YatimaKwani waafrika ya kusini hawalalamiki kuhusu huyo binti yake?
Hasa CHADEMA wengi wao wamejaa wivu chuki binafsi na roho mbaya na ndio Maana wamejaa laana nukusi na Mikosi tu inayowaandamani chiki binafsi tu na umaskini wa kifikra miongoni mwa baadhi ya waTanzania hasa wasusia uchaguzi mkuu
Umesamehewa Dhambi zako bure kabisa maana hujui ulitendaloWewe fala Bora ungeondoka Tu duniani
Hapa alikwenda Itali kufanya nini? Unatuletea mambo ya mwaka Jana kuhalalisha hoja dhaifu unayojaribu kuijengea uzio.Nimeshakwambia siyo mara ya kwanza wala ya pili wala ya mwisho kwa Rais huyo kusafiri na Binti yake na wa Afrika Kusini hawana ushamba wa kuanza kupiga kelele maana wanajua binti huyo anayo haki ya kusafiri na Baba yake na wala haipotezi haki yake kwa Baba yake ama aishi kama Yatima
Ramaphosa wala hafanyi upumbavu.Kwa hiyo kama Raisi Ramaphosa anafanya upumbavu inahalalisha raisi wetu kufanya upumbavu? Aliekuambia Ramaphosa ndio standard ya namna raisi anavyopasa kuwa ni nani? Huyu Ramaphosa mwenye kesi ya kutakatisha fedha na kuzificha kwenye kochi ndio unamlinganisha na raisi wa Tanzania? Hauko sawa wewe
Hatuwezi kumuonea wivu zero brain Form Four faulure!.Hasa CHADEMA wengi wao wamejaa wivu chuki binafsi na roho mbaya m ndio Maana wamejaa laana nukusi na Mikosi tu inayowaandama
Nenda katuletee na wewe huyuView attachment 3700573
Yule Msukuma mshamba mshamba aliyemposa mtoto wa Ruto angetuletea huyu binti wa Rais wa SA ningemuelewa sana.
Wewe hunaga akiliHatuwezi kumuonea wivu zero brain Form Four faulure!.
Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo VirojaJitahidi kuficha ujinga wako kwa kukaa kimya Ujinga wako iwe siri ya familia yako sio lazima Taifa lote lijue kuwa wewe ni mjinga.
Tatizo Mnapenda kusifia vya nje na kujidharau ninyi . Utaendelea kubaki na umasikini wako wa kipato na akiliH.E. Cyril Ramaphosa ni tajiri toka akiwa mdogo na makampuni yake yamechangia pakubwa uchumi wa SA.
Huyo binti yake ni mkurugenzi mwandamizi katika makampuni ya baba yake. Kutembelea Italy for business deals kama mwajiri wa maelfu ya wananchi wa SA na mchangiaji mkuu wa uchumi wa nchi sio jambo la kushangaza hata kidogo