Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Kimachowasumbua Chadema ni wivu na roho mbaya tu.Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3700500
Hiyo ni Picha Ya Rais wa Afrika Kusini Akiwa na Binti yake katika Ziara yake ya kikazi Nchini Italy Ambako ameweza kuambatana naye .Na siyo Mara ya kwanza wala ya pili bali amekuwa akifanya hivyo katika ziara nyingi tu kuambatana na Mwanaye ama Binti yake huyo Kipenzi.
Ikumbukwe Huyo Mtoto Hakuchagua Kuzaliwa Familia ya Ramaphosa na wala hakupanga Baba yake awe Rais . Lakini pia Urais Wa Baba yake haumuondolei haki ya kupata Nafasi ya kuwa karibu na Baba yake ama kusafiri naye ama kuw naye karibu
Baba yake kuwa Rais haimtengi na Baba yake . Baba yake pia ambaye ni Rais anayo haki ya kusafiri na Binti yake na Familia yake na hata kuwatambulisha kwa viongozi wenzake huko aendako bila kuomba kibali kwa yeyote yule.
Sasa ingekuwa hapa Nchini ndio amefanya Rais wetu Mpendwa ungeona Wanaharakati Uchwara waliojaa njaaa tupu namna ambavyo wangeanza kuongea na kuropoka ropoka Hovyo hovyo kama walevi wa gongo .
Ungeona namna ambavyo wangeanza kuzusha uongo na ufitini na kila aina ya upashikuna na ushakunoko usio na kichwa wala Miguu. Ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa kana kwamba anakuwa amevunja sheria ama katiba ya Nchi.
Kinachowasumbua Wanaharakati Uchwara ni Wivu Chuki Binafsi roho mbaya njaa na kutumika na kutumiwa vibaya bila kufikiri wala kujiuliza swali lolote lile . Wao ni kukurupuka tu kama kuku .
Kwa wivu wao wanaendelea kubakia maskini wa kutupwa wasio na mbele wala nyuma . Kwa sababu badala ya kujibidisha kufanya kazi wao wanakalia kutwa nzima kupiga umbeya tu mtaa kwa mtaa na kijiwe kwa kijiwe halafu mwisho wa siku wakiona mtu anapata maendeleo ama kufanikiwa wao wanaanza kumpiga Majungu na kumuonea wivu na kumuombea dua mbaya ili ashuke na awe kama wao .
Ndio Maana hawabarikiwi zaidi ya kukaa laana nukusi na Mikosi kila Uchao pamoja na mabalaa ya kila aina .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wivu tu ndio unaokusumbua. Umaskini unakutesa.wivu wako hauwezi kuondoa umaskini wa familia na ukoo wakoKwa hiyo kama Raisi Ramaphosa anafanya upumbavu inahalalisha raisi wetu kufanya upumbavu? Aliekuambia Ramaphosa ndio standard ya namna raisi anavyopasa kuwa ni nani? Huyu Ramaphosa mwenye kesi ya kutakatisha fedha na kuzificha kwenye kochi ndio unamlinganisha na raisi wa Tanzania? Hauko sawa wewe
Acha uongo ewe zero BrainHapa alikwenda Itali kufanya nini? Unatuletea mambo ya mwaka Jana kuhalalisha hoja dhaifu unayojaribu kuijengea uzio.
Hao walikwenda Kwa Papa kidini na kwa masuala ya misaada ya kibinadamu.
Utaondoka wewe na kuniachaWewe fala Bora ungeondoka Tu duniani
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3700500
Hiyo ni Picha Ya Rais wa Afrika Kusini Akiwa na Binti yake katika Ziara yake ya kikazi Nchini Italy Ambako ameweza kuambatana naye .Na siyo Mara ya kwanza wala ya pili bali amekuwa akifanya hivyo katika ziara nyingi tu kuambatana na Mwanaye ama Binti yake huyo Kipenzi.
Ikumbukwe Huyo Mtoto Hakuchagua Kuzaliwa Familia ya Ramaphosa na wala hakupanga Baba yake awe Rais . Lakini pia Urais Wa Baba yake haumuondolei haki ya kupata Nafasi ya kuwa karibu na Baba yake ama kusafiri naye ama kuw naye karibu
Baba yake kuwa Rais haimtengi na Baba yake . Baba yake pia ambaye ni Rais anayo haki ya kusafiri na Binti yake na Familia yake na hata kuwatambulisha kwa viongozi wenzake huko aendako bila kuomba kibali kwa yeyote yule.
Sasa ingekuwa hapa Nchini ndio amefanya Rais wetu Mpendwa ungeona Wanaharakati Uchwara waliojaa njaaa tupu namna ambavyo wangeanza kuongea na kuropoka ropoka Hovyo hovyo kama walevi wa gongo .
Ungeona namna ambavyo wangeanza kuzusha uongo na ufitini na kila aina ya upashikuna na ushakunoko usio na kichwa wala Miguu. Ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa kana kwamba anakuwa amevunja sheria ama katiba ya Nchi.
Kinachowasumbua Wanaharakati Uchwara ni Wivu Chuki Binafsi roho mbaya njaa na kutumika na kutumiwa vibaya bila kufikiri wala kujiuliza swali lolote lile . Wao ni kukurupuka tu kama kuku .
Kwa wivu wao wanaendelea kubakia maskini wa kutupwa wasio na mbele wala nyuma . Kwa sababu badala ya kujibidisha kufanya kazi wao wanakalia kutwa nzima kupiga umbeya tu mtaa kwa mtaa na kijiwe kwa kijiwe halafu mwisho wa siku wakiona mtu anapata maendeleo ama kufanikiwa wao wanaanza kumpiga Majungu na kumuonea wivu na kumuombea dua mbaya ili ashuke na awe kama wao .
Ndio Maana hawabarikiwi zaidi ya kukaa laana nukusi na Mikosi kila Uchao pamoja na mabalaa ya kila aina .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mkoa wa Songwe nao unatukana watu wengine kuhusu umasikini kazi ipo..Wivu tu ndio unaokusumbua. Umaskini unakutesa.wivu wako hauwezi kuondoa umaskini wa familia na ukoo wako
KUNDU LA MAMA YAKO LINATOA UTOKONdugu zangu Watanzania,View attachment 3700500
Hiyo ni Picha Ya Rais wa Afrika Kusini Akiwa na Binti yake katika Ziara yake ya kikazi Nchini Italy Ambako ameweza kuambatana naye .Na siyo Mara ya kwanza wala ya pili bali amekuwa akifanya hivyo katika ziara nyingi tu kuambatana na Mwanaye ama Binti yake huyo Kipenzi.
Ikumbukwe Huyo Mtoto Hakuchagua Kuzaliwa Familia ya Ramaphosa na wala hakupanga Baba yake awe Rais . Lakini pia Urais Wa Baba yake haumuondolei haki ya kupata Nafasi ya kuwa karibu na Baba yake ama kusafiri naye ama kuw naye karibu
Baba yake kuwa Rais haimtengi na Baba yake . Baba yake pia ambaye ni Rais anayo haki ya kusafiri na Binti yake na Familia yake na hata kuwatambulisha kwa viongozi wenzake huko aendako bila kuomba kibali kwa yeyote yule.
Sasa ingekuwa hapa Nchini ndio amefanya Rais wetu Mpendwa ungeona Wanaharakati Uchwara waliojaa njaaa tupu namna ambavyo wangeanza kuongea na kuropoka ropoka Hovyo hovyo kama walevi wa gongo .
Ungeona namna ambavyo wangeanza kuzusha uongo na ufitini na kila aina ya upashikuna na ushakunoko usio na kichwa wala Miguu. Ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa kana kwamba anakuwa amevunja sheria ama katiba ya Nchi.
Kinachowasumbua Wanaharakati Uchwara ni Wivu Chuki Binafsi roho mbaya njaa na kutumika na kutumiwa vibaya bila kufikiri wala kujiuliza swali lolote lile . Wao ni kukurupuka tu kama kuku .
Kwa wivu wao wanaendelea kubakia maskini wa kutupwa wasio na mbele wala nyuma . Kwa sababu badala ya kujibidisha kufanya kazi wao wanakalia kutwa nzima kupiga umbeya tu mtaa kwa mtaa na kijiwe kwa kijiwe halafu mwisho wa siku wakiona mtu anapata maendeleo ama kufanikiwa wao wanaanza kumpiga Majungu na kumuonea wivu na kumuombea dua mbaya ili ashuke na awe kama wao .
Ndio Maana hawabarikiwi zaidi ya kukaa laana nukusi na Mikosi kila Uchao pamoja na mabalaa ya kila aina .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sasa yeye kashampa uwaziri binti na mkweweNdugu zangu Watanzania,View attachment 3700500

Rais wa Malawi akinya hadharani basi na rais wako inakuwa halali?Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3700500

Hiyo ni stori ya mwaka Jana...Acha uongo ewe zero Brain
Chini chiki
Sawa lakini angalau mie sikufeli form four kama huyo mamako!Wewe hunaga akili