PICHA: Rais Wa Afrika Kusini Akiwa na Binti Yake Ziara ya Kikazi Italy

Ulisema ufuatilie na kuzingatia Kila upuuzi wa Machado unaweza kuwa mpumbavu kama wao
 
Points. Lucas Mwashambwa naomba utuambie, Abdul anaenda kwenye vikao vya kiserikali kama nani? Mfano kile kikao na Museveni ALISHIRIKI kama nani?
 
Mkuu umeulizwa hapo nyuma, akinya hadharani rais Abechedee , naye rais wetu mpendwa anye vivyo?
 
Kama anamugharamia sawa ila angekuwa anabaki hotelini sio kuongozana nae kikazi
 
Huna adabu wewe mjaa laana nukusi na Mikosi

Rais wetu ni mchapakazi sana na ndio maana tumepiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo Nchini.
 
Hili senge kila siku kutetea upumbavu tuu wa familia moja.
 
Sasa yeye kashampa uwaziri binti na mkwewe
Kuwa mtoto wa Rais ama Mkwe wa Rais haizuii ama kumnyima haki mwanae ama Mkwewe kuwa kiongozi.

Ndio Maana leo hapo Uganda Mkuu wa Majeshi ni Mtoto wa Museveni Mwenyewe
 
huyu anahusika na utekaji?
huyu binti anafira watekaji?
huyu binti ana shida ya akili?
huyu binti ni fisadi?
huyu binti anaua?
huyu binti aliwahi kuwakilisha delegate ya nchi yake peke yake kuonana na rais wa Uganda?

we jamaa ungekufa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…