Picha: Rejeta yangu inamwaga maji kwa presha

Picha: Rejeta yangu inamwaga maji kwa presha

Nakumbuka ilikua GX100 ya Rafiki yangu, Bwana yule Gari ilitembea akaanza kuona Moshi... akasimama pale katika Mfuniko wa Rejeta ndo Moshi ulikua unatokea.... Bwana yule si akaufungua Bwana.... kwakweli kulichotokea Uso wake sikuweza kuuangalia mara 2
Yale maji ukifungua mfuniko yalivyo ya moto umekwisha, hata kwenye gari inayochemsha kufungua mtu unachukua spana ya kufungua tairi na chuma cha jeki. Unatumia hivyo kuuzungusha na baada ya kuuweka wazi, unarudi chuma fasta sana
 
Back
Top Bottom