gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Mkasi ulitoka kwenye box yeye ndiyo akawa wa kwanza na wa mwisho kuushika!?..sumu ilikuwa kwenye mkasi.
Mkasi ulitoka kwenye box yeye ndiyo akawa wa kwanza na wa mwisho kuushika!?..sumu ilikuwa kwenye mkasi.
Unafanyiwa investigation,kila kitu atachoshika,kila njia atayopitaAaah umenisanua boss
Ki protokali hatakiwi kushika mkasi au mkasi haufanyiwi investigation kabla ya VIP kuutumia?i am inquisitive boss
Mkasi ulitoka kwenye box yeye ndiyo akawa wa kwanza na wa mwisho kuushika!?
Aaah umenisanua boss
Ki protokali hatakiwi kushika mkasi au mkasi haufanyiwi investigation kabla ya VIP kuutumia?i am inquisitive boss
Usalama Gani unaowazungumzia ? Hayo yaliyovaa masuti hapo? Hamna kitu humo show off tuKwamba hata vyombo vya usalama havikijuwa chochote..
Mwisho kabisa alienda polisi chang'ombe kufanya kazi moja ni kama ilikuwa ya kutunikia vyeo ,
Magufuli better your were here. Haki bora usingekufa
Amka ukajisaidieMTU akifika miaka 60s asipojali Afya na kupunguza movement anaweza pata magonjwa yakamuondoa
Hiyo AC ipo wapi kwenye hizo pichKwahili nakataa. Magufuli alianza kutembea na AC na feni hata sehemu ambazo kwa mtu mwenye afya njema hapahitaji usaidizi wa hewa. Kuonesha alikuwa tayari amedhurika tazama mwonekano wale kwenye hizo picha.
We usihangaike na waswahili hawa. Mi nasema tu comments zao Kisha nasikitika tu kuwa kumbe safari Bado sana. Kwa akili hizi ccm itahindwaje kutawala miaka 10,000 zaidi mbele?!!!!! Yaani hapo ndo wapinzani wanajadili fursa ya kuingia ikulu 🤣🤣🤣Kwamba hata vyombo vya usalama havikijuwa chochote..
Ila wewe uliziona, sio?!!!!! 🤣🤣🤣🤣🤣..walioushika kabla na baada yake walikuwa wamevaa " glops " ambazo sio rahisi kuziona kwa macho.
Dada shemeji ndo anakufunza kiingereza hiki?!!!!!😳😳😳😳😳Mwisho kabisa alienda polisi chang'ombe kufanya kazi moja ni kama ilikuwa ya kutunikia vyeo ,
Magufuli better your were here. Haki bora usingekufa
Ila wewe uliziona, sio?!!!!! 🤣🤣🤣🤣🤣
Mungu ni mwema siku zoteNimeona ndoto mpango ameufuta uchaguzi