Picha: Siku Magufuli alivyozindua kiwanda cha Rostam Morogoro

Hii ilikua ni February 12 mwaka 2021,na baada ya hapo hii ndo ilikua ziara yake ya mwisho kwani baada ya hapo alienda hadi Dsm mbezi kuzindua stend na ikawa ndo mwisho wa kuonekana kwake.

Nimeweka picha zote.

Rais Magufuli ampongeza Rostam Aziz kwa kuanzisha kiwanda Morogoro

Ijumaa, Februari 12, 2021

Muktasari:

Rais Magufuli amezindua Kiwanda cha Ngozi cha ACE Leather Tanzania Limited-Kihonda

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, John Magufuli ampongeza mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz kwa kuanzisha kiwanda mkoani Morogoro.

Mbali na pongezi hizo, Magufuli amemshukia mbunge wa Morogoro Mjini Aziz Aboud kwa kushindwa kuendesha viwanda.

“Nakupongeza sana Rostam kweli nakupongeza kwa sababu rafiki yako mbunge wa hapa ameshindwa kuendesha viwanda viwili. Mimi huwa ni mkweli nazungumza kwa uwazi, Aboud alichukuwa viwanda viwili vikubwa cha Calvan na Moplo.

“Kiwanda cha Moplo kilikuwa kinahusika na mafuta ya kupikia, mimi nasema hadharani sikufichi, ulipewa viwanda tangu mwaka 1996 hadi mwaka jana walipokunyang’anya uliwanyima ajira hata wapigakura wako,” amesema Magufuli.

Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo, Ijumaa Februari 12, 2021 wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha Ngozi cha ACE Leather Tanzania Limited-Kihonda, kinachomilikiwa na Rostam.

Katika maelezo yake Rais Magufuli amesema, “huu ndiyo ukweli na mimi nitabaki siku zote kusema ukweli, nasema uongo ndugu zangu? Aliitikiwa kweli na wananchi. Abood amekaa na viwanda vya Moplo na Calvan kwa zaidi ya miaka 25.

“Huyu leo simpongezi ingawa jana nilimpongeza kwenye viwanda ndugu Abood hujafanya vizuri. Nikiondoka Morogoro sijasema hili nitakuwa mnafiki,” amesema Rais Magufuli.

Katika hafla hiyo Rais Magufuli amesema Kiwanda cha Calvan kiliuzwa kwa Benki ya CRDB, ambayo hata hivyo hawakukiendeleza, huku akimuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe kusimamia suala hilo na kiwanda hicho kifanye kazi.

View attachment 3458185View attachment 3458188View attachment 3458189View attachment 3458191View attachment 3458195View attachment 3458196
Sijui ni muda gani walimpiga tukio
 
Sio kweli JPM alionekana hadharani 21 feb 2021 alivyoenda kanisani na akaanza kuwananga baadhi ya waumini kuhusu barakoa.. kusema alionekana hadharani tarehe 12 ni uongo tena uongo mkubwa.
 
Kwahili nakataa. Magufuli alianza kutembea na AC na feni hata sehemu ambazo kwa mtu mwenye afya njema hapahitaji usaidizi wa hewa. Kuonesha alikuwa tayari amedhurika tazama mwonekano wale kwenye hizo picha.
Kukataa ni kupingana na statement za Polepole, upi ukweli wako?
 
Kabisa alafu nachomlaum huyu msukuma ni Ile kuuwa wanaharakati angeanza na wana mtandao akampga TL risasi na Kuuwa Upinzani pengine angekaa na akina TL vizuri wangemsanua wanamtandao ni kina nani na jinsi wanavyomuwinda Pengine asingeua Upinzani kwa Ubabe wangeenda kuropoka ndani ya Bunge wanamtandao walivyo hatari na wanavyomuwinda Hii ndo Ile wanasema the enemy of your enemy is your friend.

Kweli nilikua Simpendi hata nyuzi nyingi nmemkandia ila Kuuwawa kwake kumeniumiza ukitegemea na Cake wanayokula kina Kiziga na Mama Abdul na Rostam
CHADEMA walikosea wenyewe MAGUFULI alikuwa yupo tayari kushirikiana nao ndiomana hata maendeleo hayana chama Hilo neno lilitoka kwake.

Shida iliokuwepo na ambayo Bado ipo Tanzania ni watanzania hawamjui adui yao na kingine hawajui MTU anaepigana na adui yao n mwenzao vitani Sasa watanzania wanampiga MTU anaepigana na adui yao.

Hope wakina Lisu wanasema ni Bora wasingekuwa wanambeza MAGUFULI Sasa hivi wangekuwa 50/50 kwenye keki ya Taifa.

MAGUFULI alijitahidi mno kufanya kazi na VYAMA pinzani na alipoona ni sikio lakufa hasa kipindi hicho ukizingatia mbowe alikuwa hajajulikana n nani kwenye Wanamtandao MAGUFULI akaona atumie nguvu na madaraka aloyokuwa nayo kwenda mbele na ndio ilkua tiba
 
Sasa Kwan nini alimpiga TL risasi kwa nini aliwapoteza kina Saa8 na Azori kwa nini aliua Upinzani Magu ilifikia stage akawa anawachukia watu wa Kanda flani Yani ww niambie labda angepaswa adili na hao wahuni wenzake
 
Kosa lilikuwa ni la Magufuli. Alipenda sana ''kuambiwa maneno ambayo masikio yake yanapenda kusikia'' badala ya ushauri wa kitaalam. Unamweka mtu kama Makonda karibu unadhani utapata matokeo gani? Hata kama walimuua lakini ni baada ya yeye kuzembea na kudhani wapinzani ndiyo adui zake. Zile risasi alizopigwa Lissu zilitakiwa ziende kwa vinara wa mtandao, hapo angekuwa amemaliza ufisadi mkubwa kwa kiasi kikubwa.
 
Sasa Kwan nini alimpiga TL risasi kwa nini aliwapoteza kina Saa8 na Azori kwa nini aliua Upinzani Magu ilifikia stage akawa anawachukia watu wa Kanda flani Yani ww niambie labda angepaswa adili na hao wahuni wenzake
Nafkir ukirudia kusoma utaelewa ninachomaanisha narudua baada ya kuona Pinga Pinga zimekuwa nyingi na hazina maana hata kwenye Yale ya msingi ndio busara ya Dola ilibidi itumike.

Nukuu/kumbuka maneno ya heche makamu mwenyekit CHADEMA kwenye Moja ya kesi ya lisu au CHADEMA wakati imeahiridhwa tena alisema nakumbuka MAGUFULI alikuwa hapendi upinzani lakini alikuwa anafanya yale yanayosemwa na wapinzani.

Maendeleo hayana chama au sio ndugu zangu!
 
Hii ilikua ni February 12 mwaka 2021,na baada ya hapo hii ndo ilikua ziara yake ya mwisho kwani baada ya hapo alienda hadi Dsm mbezi kuzindua stend na ikawa ndo mwisho wa kuonekana kwake.

Nimeweka picha zote.

Rais Magufuli ampongeza Rostam Aziz kwa kuanzisha kiwanda Morogoro

Ijumaa, Februari 12, 2021

Muktasari:

Rais Magufuli amezindua Kiwanda cha Ngozi cha ACE Leather Tanzania Limited-Kihonda

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, John Magufuli ampongeza mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz kwa kuanzisha kiwanda mkoani Morogoro.

Mbali na pongezi hizo, Magufuli amemshukia mbunge wa Morogoro Mjini Aziz Aboud kwa kushindwa kuendesha viwanda.

“Nakupongeza sana Rostam kweli nakupongeza kwa sababu rafiki yako mbunge wa hapa ameshindwa kuendesha viwanda viwili. Mimi huwa ni mkweli nazungumza kwa uwazi, Aboud alichukuwa viwanda viwili vikubwa cha Calvan na Moplo.

“Kiwanda cha Moplo kilikuwa kinahusika na mafuta ya kupikia, mimi nasema hadharani sikufichi, ulipewa viwanda tangu mwaka 1996 hadi mwaka jana walipokunyang’anya uliwanyima ajira hata wapigakura wako,” amesema Magufuli.

Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo, Ijumaa Februari 12, 2021 wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha Ngozi cha ACE Leather Tanzania Limited-Kihonda, kinachomilikiwa na Rostam.

Katika maelezo yake Rais Magufuli amesema, “huu ndiyo ukweli na mimi nitabaki siku zote kusema ukweli, nasema uongo ndugu zangu? Aliitikiwa kweli na wananchi. Abood amekaa na viwanda vya Moplo na Calvan kwa zaidi ya miaka 25.

“Huyu leo simpongezi ingawa jana nilimpongeza kwenye viwanda ndugu Abood hujafanya vizuri. Nikiondoka Morogoro sijasema hili nitakuwa mnafiki,” amesema Rais Magufuli.

Katika hafla hiyo Rais Magufuli amesema Kiwanda cha Calvan kiliuzwa kwa Benki ya CRDB, ambayo hata hivyo hawakukiendeleza, huku akimuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe kusimamia suala hilo na kiwanda hicho kifanye kazi.

View attachment 3458185View attachment 3458188View attachment 3458189View attachment 3458191View attachment 3458195View attachment 3458196
Inasikitisha sana
 
Mbona hapo jukwaani hana tai ? Na akiwa na rostam ana tai ? Una uhakika ni picha za siku moja ?
 
Back
Top Bottom