Picha: Siku Magufuli alivyozindua kiwanda cha Rostam Morogoro

Chochote anachotakiwa Rais akishike kwenye matukio yake hukaguliwana kuwa chini ya mfumo siku kadhaa kabla. Tena enzi ya JP huingii katika tenti kabla hujakaguliwa na kunawishwa maji
 
H
Hii ilikua ni February 12 mwaka 2021,na baada ya hapo hii ndo ilikua ziara yake ya mwisho kwani baada ya hapo alienda hadi Dsm mbezi kuzindua stend na ikawa ndo mwisho wa kuonekana kwake.

Nimeweka picha zote.

Rais Magufuli ampongeza Rostam Aziz kwa kuanzisha kiwanda Morogoro

Ijumaa, Februari 12, 2021

Muktasari:

Rais Magufuli amezindua Kiwanda cha Ngozi cha ACE Leather Tanzania Limited-Kihonda

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, John Magufuli ampongeza mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz kwa kuanzisha kiwanda mkoani Morogoro.

Mbali na pongezi hizo, Magufuli amemshukia mbunge wa Morogoro Mjini Aziz Aboud kwa kushindwa kuendesha viwanda.

“Nakupongeza sana Rostam kweli nakupongeza kwa sababu rafiki yako mbunge wa hapa ameshindwa kuendesha viwanda viwili. Mimi huwa ni mkweli nazungumza kwa uwazi, Aboud alichukuwa viwanda viwili vikubwa cha Calvan na Moplo.

“Kiwanda cha Moplo kilikuwa kinahusika na mafuta ya kupikia, mimi nasema hadharani sikufichi, ulipewa viwanda tangu mwaka 1996 hadi mwaka jana walipokunyang’anya uliwanyima ajira hata wapigakura wako,” amesema Magufuli.

Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo, Ijumaa Februari 12, 2021 wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha Ngozi cha ACE Leather Tanzania Limited-Kihonda, kinachomilikiwa na Rostam.

Katika maelezo yake Rais Magufuli amesema, “huu ndiyo ukweli na mimi nitabaki siku zote kusema ukweli, nasema uongo ndugu zangu? Aliitikiwa kweli na wananchi. Abood amekaa na viwanda vya Moplo na Calvan kwa zaidi ya miaka 25.

“Huyu leo simpongezi ingawa jana nilimpongeza kwenye viwanda ndugu Abood hujafanya vizuri. Nikiondoka Morogoro sijasema hili nitakuwa mnafiki,” amesema Rais Magufuli.

Katika hafla hiyo Rais Magufuli amesema Kiwanda cha Calvan kiliuzwa kwa Benki ya CRDB, ambayo hata hivyo hawakukiendeleza, huku akimuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe kusimamia suala hilo na kiwanda hicho kifanye kazi.

View attachment 3458185View attachment 3458188View attachment 3458189View attachment 3458191View attachment 3458195View attachment 3458196
Hatutaki habari za wafu we bwege. Inatusaidia nini au mnamtumia km mzimu wenu. Mfuateni ni kiongozi kule atawapa teuzi
 
Kwamba hata vyombo vya usalama havikijuwa chochote..
Vyombo vya Kibongo hivi vinavyoshindwa hata mambo madogomadogo? Vinashindwa hata kujisafisha kutoka katika scandals za utekaji, uporaji na uuaji. Vyombo hivi vilivyogeuzwa kuwa chawa wa akina JK na Rostam?
Hakuna vyombo thabiti na competent TZ, just useless organizations protecting the elites only.
 
Hii ilikua ni February 12 mwaka 2021,na baada ya hapo hii ndo ilikua ziara yake ya mwisho kwani baada ya hapo alienda hadi Dsm mbezi kuzindua stend na ikawa ndo mwisho wa kuonekana kwake.

Nimeweka picha zote.

Rais Magufuli ampongeza Rostam Aziz kwa kuanzisha kiwanda Morogoro

Ijumaa, Februari 12, 2021

Muktasari:

Rais Magufuli amezindua Kiwanda cha Ngozi cha ACE Leather Tanzania Limited-Kihonda

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, John Magufuli ampongeza mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz kwa kuanzisha kiwanda mkoani Morogoro.

Mbali na pongezi hizo, Magufuli amemshukia mbunge wa Morogoro Mjini Aziz Aboud kwa kushindwa kuendesha viwanda.

“Nakupongeza sana Rostam kweli nakupongeza kwa sababu rafiki yako mbunge wa hapa ameshindwa kuendesha viwanda viwili. Mimi huwa ni mkweli nazungumza kwa uwazi, Aboud alichukuwa viwanda viwili vikubwa cha Calvan na Moplo.

“Kiwanda cha Moplo kilikuwa kinahusika na mafuta ya kupikia, mimi nasema hadharani sikufichi, ulipewa viwanda tangu mwaka 1996 hadi mwaka jana walipokunyang’anya uliwanyima ajira hata wapigakura wako,” amesema Magufuli.

Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo, Ijumaa Februari 12, 2021 wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha Ngozi cha ACE Leather Tanzania Limited-Kihonda, kinachomilikiwa na Rostam.

Katika maelezo yake Rais Magufuli amesema, “huu ndiyo ukweli na mimi nitabaki siku zote kusema ukweli, nasema uongo ndugu zangu? Aliitikiwa kweli na wananchi. Abood amekaa na viwanda vya Moplo na Calvan kwa zaidi ya miaka 25.

“Huyu leo simpongezi ingawa jana nilimpongeza kwenye viwanda ndugu Abood hujafanya vizuri. Nikiondoka Morogoro sijasema hili nitakuwa mnafiki,” amesema Rais Magufuli.

Katika hafla hiyo Rais Magufuli amesema Kiwanda cha Calvan kiliuzwa kwa Benki ya CRDB, ambayo hata hivyo hawakukiendeleza, huku akimuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe kusimamia suala hilo na kiwanda hicho kifanye kazi.

View attachment 3458185View attachment 3458188View attachment 3458189View attachment 3458191View attachment 3458195View attachment 3458196
Tajiri anafuatwa na kubembelezwa huwezi mkwepa bila matajiri hakuna Nchi.

Mwamba sana huyu Jamaa RA
 
Ndicho hicho kipaza sauti cha njano wanachosema?
Sijui kama alikuwa ameshatoka Chato au la!
 
HAKUNA RAIS ALIYEKUWA NA ULINZI KAMA JPM KATIKA HISTORIA YA NCHI HII!
Na wahuni wakamuua licha ya ulinzi huo madhubuti, hapo alijiingiza kwenye 18 zao mwenyewe. Jasusi wa 'niguse ninuke' na mlowezi(settler) Rostam pamoja na mbadhilifu mwizi namba moja wa mali za nchi muhuni JK wakiwa na jambazi la Kiunguja bi Urojo, ilikuwa ni dream team kabambe.
 
ubishi huyu Mzee tungekuwa nae Hadi Leo. ubishi
Kabisa alafu nachomlaum huyu msukuma ni Ile kuuwa wanaharakati angeanza na wana mtandao akampga TL risasi na Kuuwa Upinzani pengine angekaa na akina TL vizuri wangemsanua wanamtandao ni kina nani na jinsi wanavyomuwinda Pengine asingeua Upinzani kwa Ubabe wangeenda kuropoka ndani ya Bunge wanamtandao walivyo hatari na wanavyomuwinda Hii ndo Ile wanasema the enemy of your enemy is your friend.

Kweli nilikua Simpendi hata nyuzi nyingi nmemkandia ila Kuuwawa kwake kumeniumiza ukitegemea na Cake wanayokula kina Kiziga na Mama Abdul na Rostam
 
Back
Top Bottom