Hatutaki habari za wafu we bwege. Inatusaidia nini au mnamtumia km mzimu wenu. Mfuateni ni kiongozi kule atawapa teuziHii ilikua ni February 12 mwaka 2021,na baada ya hapo hii ndo ilikua ziara yake ya mwisho kwani baada ya hapo alienda hadi Dsm mbezi kuzindua stend na ikawa ndo mwisho wa kuonekana kwake.
Nimeweka picha zote.
Rais Magufuli ampongeza Rostam Aziz kwa kuanzisha kiwanda Morogoro
Ijumaa, Februari 12, 2021
Muktasari:
Rais Magufuli amezindua Kiwanda cha Ngozi cha ACE Leather Tanzania Limited-Kihonda
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, John Magufuli ampongeza mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz kwa kuanzisha kiwanda mkoani Morogoro.
Mbali na pongezi hizo, Magufuli amemshukia mbunge wa Morogoro Mjini Aziz Aboud kwa kushindwa kuendesha viwanda.
“Nakupongeza sana Rostam kweli nakupongeza kwa sababu rafiki yako mbunge wa hapa ameshindwa kuendesha viwanda viwili. Mimi huwa ni mkweli nazungumza kwa uwazi, Aboud alichukuwa viwanda viwili vikubwa cha Calvan na Moplo.
“Kiwanda cha Moplo kilikuwa kinahusika na mafuta ya kupikia, mimi nasema hadharani sikufichi, ulipewa viwanda tangu mwaka 1996 hadi mwaka jana walipokunyang’anya uliwanyima ajira hata wapigakura wako,” amesema Magufuli.
Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo, Ijumaa Februari 12, 2021 wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha Ngozi cha ACE Leather Tanzania Limited-Kihonda, kinachomilikiwa na Rostam.
Katika maelezo yake Rais Magufuli amesema, “huu ndiyo ukweli na mimi nitabaki siku zote kusema ukweli, nasema uongo ndugu zangu? Aliitikiwa kweli na wananchi. Abood amekaa na viwanda vya Moplo na Calvan kwa zaidi ya miaka 25.
“Huyu leo simpongezi ingawa jana nilimpongeza kwenye viwanda ndugu Abood hujafanya vizuri. Nikiondoka Morogoro sijasema hili nitakuwa mnafiki,” amesema Rais Magufuli.
Katika hafla hiyo Rais Magufuli amesema Kiwanda cha Calvan kiliuzwa kwa Benki ya CRDB, ambayo hata hivyo hawakukiendeleza, huku akimuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe kusimamia suala hilo na kiwanda hicho kifanye kazi.
View attachment 3458185View attachment 3458188View attachment 3458189View attachment 3458191View attachment 3458195View attachment 3458196
Afu wewe si mwalimu ??Mwisho kabisa alienda polisi chang'ombe kufanya kazi moja ni kama ilikuwa ya kutunikia vyeo ,
Magufuli better your were here. Haki bora usingekufa
Nadhani wakati wa ukoloni ilikuwa kama hivi tu, hakuna cha kufanya.Watanzania mil 67+ mmemshindwa huyu mu-iran?
Kisa huo weupe wake.
Nyie ng'ombe kweli kweli pumbavu nyie.
Muache aendelee kunyonya hizo damu vizazi na vizazi maana HAMNA AKILI.
Yaani nasikia aibu na hatia sana kumchukia huyu baba, Mungu naomba nisamehe 😭R.I.P JPM, i used to hate u but now im even in darker room 😓
Vyombo vya Kibongo hivi vinavyoshindwa hata mambo madogomadogo? Vinashindwa hata kujisafisha kutoka katika scandals za utekaji, uporaji na uuaji. Vyombo hivi vilivyogeuzwa kuwa chawa wa akina JK na Rostam?Kwamba hata vyombo vya usalama havikijuwa chochote..
Ok, hongera yao kwa kukupata!..wanaojua nini kilitokea ndio wamenitonya.
HAKUNA RAIS ALIYEKUWA NA ULINZI KAMA JPM KATIKA HISTORIA YA NCHI HII!Chochote anachotakiwa Rais akishike kwenye matukio yake hukaguliwana kuwa chini ya mfumo siku kadhaa kabla. Tena enzi ya JP huingii katika tenti kabla hujakaguliwa na kunawishwa maji
Siku hizi Yuko wapiEeh bwana picha zina kumbukumbu kweli nimemkumbuka huyo RC wa Morogoro alikuwa anaitwa Loita Ole Sanare
Tajiri anafuatwa na kubembelezwa huwezi mkwepa bila matajiri hakuna Nchi.Hii ilikua ni February 12 mwaka 2021,na baada ya hapo hii ndo ilikua ziara yake ya mwisho kwani baada ya hapo alienda hadi Dsm mbezi kuzindua stend na ikawa ndo mwisho wa kuonekana kwake.
Nimeweka picha zote.
Rais Magufuli ampongeza Rostam Aziz kwa kuanzisha kiwanda Morogoro
Ijumaa, Februari 12, 2021
Muktasari:
Rais Magufuli amezindua Kiwanda cha Ngozi cha ACE Leather Tanzania Limited-Kihonda
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, John Magufuli ampongeza mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz kwa kuanzisha kiwanda mkoani Morogoro.
Mbali na pongezi hizo, Magufuli amemshukia mbunge wa Morogoro Mjini Aziz Aboud kwa kushindwa kuendesha viwanda.
“Nakupongeza sana Rostam kweli nakupongeza kwa sababu rafiki yako mbunge wa hapa ameshindwa kuendesha viwanda viwili. Mimi huwa ni mkweli nazungumza kwa uwazi, Aboud alichukuwa viwanda viwili vikubwa cha Calvan na Moplo.
“Kiwanda cha Moplo kilikuwa kinahusika na mafuta ya kupikia, mimi nasema hadharani sikufichi, ulipewa viwanda tangu mwaka 1996 hadi mwaka jana walipokunyang’anya uliwanyima ajira hata wapigakura wako,” amesema Magufuli.
Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo, Ijumaa Februari 12, 2021 wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha Ngozi cha ACE Leather Tanzania Limited-Kihonda, kinachomilikiwa na Rostam.
Katika maelezo yake Rais Magufuli amesema, “huu ndiyo ukweli na mimi nitabaki siku zote kusema ukweli, nasema uongo ndugu zangu? Aliitikiwa kweli na wananchi. Abood amekaa na viwanda vya Moplo na Calvan kwa zaidi ya miaka 25.
“Huyu leo simpongezi ingawa jana nilimpongeza kwenye viwanda ndugu Abood hujafanya vizuri. Nikiondoka Morogoro sijasema hili nitakuwa mnafiki,” amesema Rais Magufuli.
Katika hafla hiyo Rais Magufuli amesema Kiwanda cha Calvan kiliuzwa kwa Benki ya CRDB, ambayo hata hivyo hawakukiendeleza, huku akimuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe kusimamia suala hilo na kiwanda hicho kifanye kazi.
View attachment 3458185View attachment 3458188View attachment 3458189View attachment 3458191View attachment 3458195View attachment 3458196
Ilikua ya vitamini kuongezeka mwiliniHii siku hii ndo siku sasa
Na wahuni wakamuua licha ya ulinzi huo madhubuti, hapo alijiingiza kwenye 18 zao mwenyewe. Jasusi wa 'niguse ninuke' na mlowezi(settler) Rostam pamoja na mbadhilifu mwizi namba moja wa mali za nchi muhuni JK wakiwa na jambazi la Kiunguja bi Urojo, ilikuwa ni dream team kabambe.HAKUNA RAIS ALIYEKUWA NA ULINZI KAMA JPM KATIKA HISTORIA YA NCHI HII!
Tulia wewe hujui chochote.HAKUNA RAIS ALIYEKUWA NA ULINZI KAMA JPM KATIKA HISTORIA YA NCHI HII!
WATAFUTE UONGO MWINGINE!
Kabisa alafu nachomlaum huyu msukuma ni Ile kuuwa wanaharakati angeanza na wana mtandao akampga TL risasi na Kuuwa Upinzani pengine angekaa na akina TL vizuri wangemsanua wanamtandao ni kina nani na jinsi wanavyomuwinda Pengine asingeua Upinzani kwa Ubabe wangeenda kuropoka ndani ya Bunge wanamtandao walivyo hatari na wanavyomuwinda Hii ndo Ile wanasema the enemy of your enemy is your friend.ubishi huyu Mzee tungekuwa nae Hadi Leo. ubishi
Kwa wazungumzaji wa kiingereza Mamndenyi yupo sahihi kabisa, kuna ile English yenu mnafundishwa na mwalimu kimaro halafu kuna ile ya wenyeji, shtuka.Afu wewe si mwalimu ??
Hii kiingereza ya wapi?
Trump 🐼HAKUNA RAIS ALIYEKUWA NA ULINZI KAMA JPM KATIKA HISTORIA YA NCHI HII!
WATAFUTE UONGO MWINGINE!
Hata wewe ni mfu mtarajiwa hakuna mtu atavuka hiiH
Hatutaki habari za wafu we bwege. Inatusaidia nini au mnamtumia km mzimu wenu. Mfuateni ni kiongozi kule atawapa teuzi