Elections 2015 Picha: Tulichokishuhudia katika mapokezi ya Magufuli Jijini Mwanza, upinzani unafutika

Siwezi kukulaumu ndg yangu kwani kwa upande wako kwakuwa hujawahi ona umati mkubwa umeamua kusema huo ni umati mkubwa japo cjui umeulinganisha na upi.

Pole sana kwa imani ulonayo. Raisi hatoi dira yeyote anasifiwa tu kuwa "tingatinga" linaloendeshwa na mtu.
 
Ila nimegundua wapinzani kwa sasa hatuna hofu ya ushindi uchaguzi huu bali tuna hamu tu ya uongozi mpya baada ya uchaguzi. Mwaka huu tutashinda hata wakiiba vipi
 
Mbona huo umati siuoni. Ninachokiona ni magari mengi yakiwamo ya serikali ambayo yanaendeshwa kwa kodi za watanzania wa vyama vote pamoja na pikipiki za polisi?? Hivi wewe haukuona mkutano wa kamanda wenje?? Mwanza hatudanganyiki kijingajinga kihivyo.
 
mimi ni makini n abest ktk kuangalia hiden details ktk picture na hapa ni mequote ili ukija punguza iwe too late picture zako tuu zinaonyesha kukata tamaa kwako.magufuli na ccm kwa ujumla.

Asante kwa kuniwahi ukiangalia picha zake 80% wamevaa kijani ikiwa na maana ni wale wale wanaobebwa na malori kijaza viwanja. Na hili ndilo kosa Maccm wanafanya, kununua watu ili kujifariji. Mbona hawaangalii wenzao Cdm wanafanyaje mikutano bila gharama za kununua watu??
Yaani mara hii UKAWA hawapotezi jimbo hata moja zaidiya kuongeza.
 
Mbona hata Lowassa alikuwa anajaza tena mara kumi zaidi ya hao wa Magufuli.
 
Nyomiiii!!
 

Attachments

  • 1437289748888.jpg
    33.9 KB · Views: 220
NIME PEPESA PEPESA MACHO YANGU HAKIKA SIKUONA UMATI WA
AINA YOYOTE ULE
ii
 
Kwa tulichoshuhudia monduli, bariadi na muleba, ni wazi CCM inaaga...
 
Ila nimegundua wapinzani kwa sasa hatuna hofu ya ushindi uchaguzi huu bali tuna hamu tu ya uongozi mpya baada ya uchaguzi. Mwaka huu tutashinda hata wakiiba vipi

Endelea kujifariji maana hamna namna nyingine.
 
Mbona watu sio wengi kabisaaaa...

Kwa jinsi watu Mwanza walivyo, hao ni wachache sanaaaaaaa....


Haya ni mapokezi hafifuuuuuu sanaaaa kwa Mwanza labda hujui kitu...
 

sasa cha ajabu ni umati? Mbona idadi hiyo haijafikia hata mapokezi ya silinde na msigwa?
 
Mleta mada nadhani sio mkazi wa Mwanza, na hajawahi kuona umati unaokuwepo akija Mbowe au Dr. Slaa. Ngoja nikutafutie picha za umati uliokuwepo alipokuja hapa Mbowe mara ya mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…