PICHA: Tundu Lissu anavaa kishamba sana utafikiri wanasiasa wa wakati wa ukoloni

Lissu anatafutia wapi pesa wakati unaona anaomba hadi hela ya kununua gari? Embu sema ni shughuli gani ya kumuingizia kipato cha kila siku anayoifanya Lissu kwa sasa?
😂 napoteza muda sasa au unadhani mfyatua tofali huyo kama ww anaweza omba gari ila la kazi sio gari binafsi au mpaka umuone kwenye vibarua
 
Wewe ni wa jinsia ya kiume? Bandiko kaandika dada yako au wewe mwenyewe? Mbona una tabia za kingese sana. Mwanaume unakaa na kuandika gazeti la mwanaume mwenzako anachovaa?
 
Anamuiga Dkt Magufuli
 
Maendeleo yanaanzia kichwani ya namna mtu unavyo fikiri na kuwaza. Sasa kama mtu anashindwa hata kuwaza namna ya uvaaji wake.ni vipi atakuwa na mawazo ya maendeleo? Ndio maana mnaona ameanza kuwachangisha pesa chamani
Kuchangisha pesa chamani shida iko wapi chama cha baba ake kile au aliahidi atatoa pesa za kuendesha chama,,ni mifumo yake chama kiweze pata pesa kuendesha mambo yake,, ni vile tu akili yako inawaza vitu rahisi ikiwa pamoja na kuiba pesa za wananchi
 
Kwani awali chama kilikuwa kinajiendesha vipi
 
Simple minds discuss people! Naona uko katika kundi hilo.
Nadhani hiyo ni ant Lissu fever inayokutesa!
 
Wewe ni wa jinsia ya kiume? Bandiko kaandika dada yako au wewe mwenyewe? Mbona una tabia za kingese sana. Mwanaume unakaa na kuandika gazeti la mwanaume mwenzako anachovaa?
Wala usilete hasira zako hapa. Maana siyo mimi niliye mshonea Lissu hayo makoti
 
Lakini picha ya Magufuli ni ya miaka ya 1995.
Hoja ya Lucas bado ina mashiko.
Mavazi ya mwaka 2025 hayatakiwi kuwa sawa na Yale ya 1995 kurudi nyuma!.
magu kapiga oversize hadi akiwa ikulu
magu kapiga oversize hadi kanzu

utetezi wako hauna maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…